Tatizo ndugu yangu, inaonekana mnazungumzia music generations wakati sie wengine tunazungumzia real time na ndio msingi wa mleta mada
Nukta5... yeye ametoa changamoto kwa Jide kutoka huko aliko vinginevyo atapotezwa na akina Vanessa na mimi kwenye mada yangu nimesema:Sasa mkuu wangu nyie mnatuletea mambo ya zama za Kora Awards, the very same mistake iliyofanywa na mashabiki wa Kiba hata wakamtia ujinga!!!! Mkuu, siwezi kukulazimisha, lakini kwa kasi hii, Jide atapotea na atabaki kupokea tuzo za heshima ingawaje pia siwezi kumlaumu coz' mambo mengine hayaepukiki....!
sumbai kaongea maneno machache lakini ndio ukweli wenyewe... na ni huu hapa: