Lady Jay Dee anamiliki au anamahusiano na 93.7 Redio mpya bongo!

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
399
Kuna rumours nyingi hapa kitaa kua jide anahusika katika hii redio mpya inayokaribia kuzinduliwa hapa bongo!

It might be the way to fighting the monopolistic radio(the big one) in bongo music industry.
kama ni kweli go commando go!


 
mbona nimesikia ni ya mheshimiwa sugu?
 
Mwanafatuma atakomajeeee na hiv ana hasiraa nae
 
nampenda sana huyu dada kwani ni mjasiliamali anaejua kutafuta pesa hana mda na mipasho hongera jd
 
Sio suala la kuleta ubishi, alishawahi kuzungumzia huko nyuma lengo lake la kufungua radio station yake mwenyewe, now she did it, na hiyo picha ndiyo muonekano wa ofisi, frequency ni 93.7 FM jina kamili la radio station bado halijapatikana, soon nadhani kila kitu kitakuwa poa. Big up sana LADY JAYDEE.

 

Attachments

  • 1395611373631.jpg
    52.8 KB · Views: 2,666
Hivi hizi zilizopo kumbe hazitoshi?




Sent from Nokla using Jf app
 
This is what we call development,Jaydee ni hard worker so ana-deserve haya,sio wengine kazi yao ni kujisifia wanapendwa na wanawake na kuvaa mlegezo,go go JD...
 

Hapana warumi hiz data sijajua umefanya makusudi ama ni nini....Hii radio haihusiani kabisa na jide na zaidi inakuja na kituo chake cha tv....
 
Le Mutuz na yeye alikuwa anataka kufungua Radio naye sijui kafikia wapi.
 
Na mie nafungua yangu muda si mrefu ntawapa pichaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…