Lady Jay Dee anamiliki au anamahusiano na 93.7 Redio mpya bongo!

Lady Jay Dee anamiliki au anamahusiano na 93.7 Redio mpya bongo!

Swali nyimbo za wasanii wa THT zitapigwa kweli au itakuwa nyimbo za akina VINEGA bhaaaasi.
 
Kama ni 93.7 hiyo radio siyo ya Jide, mmiliki wa maisha club ndiye mmiliki wa hii radio, itaitwa E FM.
 
Hiyo 93.7 ni radio gani na iko mkoa gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hiyo 93.7 ni radio gani na iko mkoa gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Ni redio mpya ambayo bado haija funguliwa rasmi na hata jina alijatanganzwa.
Ndio kwanza wapo kwenye mchakato wa kuweka sawa studios na mitambo yao.
Hata watangazaji wake hawajajulikana mpaka sasa.
Wameweka mzigo mkubwa wa music ktk system yao tayar kwa kuanza kazi na hivyo inatuonesha rasmi kua itakua ya kiburdani zaidi...
So far studios ziko dar es salaam ktk maeneo ya kawe!
Mmiliki hajajulikana though watu wanasema INAWEZEKANA ikawa ni ya jide.
 
Le Mutuz na yeye alikuwa anataka kufungua Radio naye sijui kafikia wapi.
Kuelekea uchaguzi ,radio nyingi na magazeti mengi yatafunguliwa,baada ya uchaguzi kukamilika vyote vajifia kifo cha mende,watu wana malengo kaka,kwani mjini shule.
 
so inaonekana itakuwa ni yakientairnement zaidi.sio mbaya what we need ni good service tuhatuangalii sura.
so far choice fm ndiyo radio yangu pendwa when i want good music mix
 
Back
Top Bottom