strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana warumi hiz data sijajua umefanya makusudi ama ni nini....Hii radio haihusiani kabisa na jide na zaidi inakuja na kituo chake cha tv....
le mutuz fm stationle mutuz na yeye alikuwa anataka kufungua radio naye sijui kafikia wapi.
Ulivokosa aibu utatuambia ya diamond
Hapana warumi hiz data sijajua umefanya makusudi ama ni nini....Hii radio haihusiani kabisa na jide na zaidi inakuja na kituo chake cha tv....
Hiyo 93.7 ni radio gani na iko mkoa gani?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Kuelekea uchaguzi ,radio nyingi na magazeti mengi yatafunguliwa,baada ya uchaguzi kukamilika vyote vajifia kifo cha mende,watu wana malengo kaka,kwani mjini shule.Le Mutuz na yeye alikuwa anataka kufungua Radio naye sijui kafikia wapi.