Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

Acheni kukuza na kupandikiza mengine.... Leo wanapata nyie wa timu hakuna alie itwa kupatanishwa ni wao kwa wao
 
Dhuuuuuy jide nan amekuloga leo
 
Mkuu mbona habari fupi kama muhutasali wa habari..........

Funguka mkuu............

[HASHTAG]#BeSerious[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
niliiishiwa bando mkuuu xx nimerudi
 
Mnaandika upuuzi tuu hapo!! Eti cjuo jide kafnyeje!! Mmesahau km n amri ya MAHAKAMA!


~Cmb
 
nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?

Alichofanya Jide na team yake ni uungwana. Jamaa walitaka yaishe, kakubali yaishe. Angegoma, wangesema anapenda visasi, ndio wabongo tulivyo.
 
Ndio maana aliwacheka wasanii waliofuta chorus yake kwenye nyimbo zao.
 
"ukiona forwards,strikers,mid fielders wote wamebanwa bhas ludisha mpira kwa kipa mjipange upya"alinambiaga kocha wangu enzi npo lipuli fc iringa,naona dada jide na yy kaludisha mpira kwa kipa....ametumia akili nzur
 
Jide ameridhia ombi la Ruge kuwa wapo tayari kipiga nyimbo zake kama atawaruhusu.

KADA
 
Jide kakubali kupokeza kijiti kama alivyosema Ruge. Komandoo kawa mgambo.
 
Jii tittle na habaro yote imekaa kikuda kama nini.
Ruge na Clouds Media ndio wamesanda kwa komando mpaka wameomba na alichofanya komando ni kuridhia tu lile ombi la Clouds Media.
Badilisha taito mkuu andika
"HATIMAYE CLOUDS MEDIA WAMESANDA KWA KOMANDO JIDE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…