uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Hii pia itakaa sawaRuby atachukuliwa wcb halafu management inaondoa tofauti na clouds
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii pia itakaa sawaRuby atachukuliwa wcb halafu management inaondoa tofauti na clouds
Watu wanakurupuka eti jide kasalimu ckoudzz mdo wamesema aruhusu nao eapige nyimbo zake sasa si kama wamemuomba msamaha imdirect! comando amewaweza.
ILIKUWA HASIRA TU!!!!! life goes on.nakumbuka alisema akifariki hataki chawa yoyote kutoka clouds ahudhurie mazishi yake.... angefuta na hiyo kauli
Haaaaa Mkuu njaa mbaya kwa mara nyengine tena Gadna anajilia tena.. Nimekumbuka sana ili nyimbo wanaume kama mabintiHakuna mkate mgumu mbele ya chai .na mwanamke atabaki kuwa mwanamke ....na mwanaumee atabaki kuwa mwanaumee.......gadna yuleee anakujaa kujiliaa tena mtalaka wakeee kwa Mara nyinginee..big jayde
njaaa kali ma.ma.eeeMjini pamekuwa pagumu kweli kweli.!
Dada machozi kaona anarudishe tu majeshi.
nakumbuka alisema akifariki hataki chawa yoyote kutoka clouds ahudhurie mazishi yake.... angefuta na hiyo kauli
nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
hahahahahaha nmeipenda hyoooo ......mpira pasi ."ukiona forwards,strikers,mid fielders wote wamebanwa bhas ludisha mpira kwa kipa mjipange upya"alinambiaga kocha wangu enzi npo lipuli fc iringa,naona dada jide na yy kaludisha mpira kwa kipa....ametumia akili nzur
tuambie chanzo nini mkuu[emoji115]Mkuu sisi Watanzania tunashida moja. Hatujuagi "ku-reason". Lolote linalokuja tunajibu bila kujua chanzo chake.
naunga mguu kwa hoja ya trump.Lets grow up. Ni mangapi tunafanya na kubadili perspective mbele ya safari? Mimi na wewe tumeshafanya hivo mara nyingi.
Kila nikimuangalia Trump watu walivyomkandia kwamba hafai hata kwa bure...leo ndo wanapanga foleni kwenda kuomba interview...natambua kwamba maisha hayana formula.
Ukiona watu wanafanya amani..ni kumshukuru Mungu.
I think your dady!Wewe ndio unaakili za chawa.alieomba maridhiano ni nani?.
Boss Ruge kamwonea tu huruma asije akafa hapa mjini kwa usawa huu wa MagufuliNdg yako Ruge ndo amesanda mpaka akenda kulia lia kwa media Xxl kumlilia komando Jide.
We ndo una akili za Mende tena ambaye bado yupo tunduni kwa sababu ungejua nani alianza kulia lia kuomba suluhu wala usingeleta ushuzi wako.
Hahahahahahaha tena itakuwa inanogesha kweli kipindi cha jahazi wimbo wa ndi.! ndi.! Ukiwa unapigwaKwa hiyo ndi ndi ndi itapigwa kwenye kipindi cha jahazi???
Wanaume kama mabinti nayo je?Joto hasira vipi