Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

Watu wanakurupuka eti jide kasalimu ckoudzz mdo wamesema aruhusu nao eapige nyimbo zake sasa si kama wamemuomba msamaha imdirect! comando amewaweza.
 
Watu wanakurupuka eti jide kasalimu ckoudzz mdo wamesema aruhusu nao eapige nyimbo zake sasa si kama wamemuomba msamaha imdirect! comando amewaweza.

Jay dee alishindwa kesi hukumu ameambiwa aombe msamaha na kulipia gharama za kesi,hana option nyingine
 
Siku zote uwa nasema mtu akianzisha vita usiunge mkono bila kujua anachopigania ni nini?
Vita imeisha je unyonyaji aliodai clouds wanaufanya wameacha?
Walioungana naye kama akina dj choka, one the incredible, niki mbishi na wengine vipi?
Yale yale ya bwana mbunge.
Vita mara nyingi inakuaga baina ya muanzisha vita na adui yake kusema anawapigania wengine ni kutafuta support tu...
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai .na mwanamke atabaki kuwa mwanamke ....na mwanaumee atabaki kuwa mwanaumee.......gadna yuleee anakujaa kujiliaa tena mtalaka wakeee kwa Mara nyinginee..big jayde
Haaaaa Mkuu njaa mbaya kwa mara nyengine tena Gadna anajilia tena.. Nimekumbuka sana ili nyimbo wanaume kama mabinti
 
Mitandaoni tumafundi kweli kweli wa kupiga debe...huyo Jide mwenyewe aliponzwa na maneno ya aina hii, ndio maana alipopelekwa mahakamani akabaki hoi.

Yawezekana kuna mengi yamefanyika nyuma ya pazia ambayo hakuna kati yao yupo tayari kuyaleta hadharani.

Kumbuka Jide ndiye kaamriwa kuomba msamaha na kulipa gharama za kesi hivyo Ruge angetaka kumkomoa Jide angempiga invoice ya mamilioni mpaka Bi dada mwenyewe achanganyikiwe....instead Ruge kasema yaishe na nyimbo ziendelee kuchezwa iwapo Jide ataridhia.

Sasa ni wangapi wanaweza kujua ni nini kiliendelea baada ya hukumu ile? Jide naye ni binaadamu usidhani angekaa kimya ili hali kuna adhabu ya mahakama inayoweza kumuumiza...kuna uwezekano jide alifanya kampeni za chini chini kuyamaliza bila kutaka yawe hadharani na walichofanya wao (Ruge na Jide) ni kuigiza tu kwenye media.

Mkumbuke jide na Ruge ni Waarabu wa Pemba 'nadhani mmeshanierewa'

Au la, tukumbuke Ruge ni mtoto wa mjini, na anajua jinsi ya kucheza hizi gemu..kwa kumrudisha Jide kundini bila kujali Jide ana impact gani kwa clouds, ni namna nzuri sana ya kuwapunguza nguvu wale wote walioanza/wanaoendeleza chokochoko za kuishutumu clouds kwa kutumia mgongo wa Jide...ofcoz ipo wazi kwamba kati ya wote waliojikuta wanatofautiana na clouds, ukimuacha Sugu ni Jide peke yake ndiye alikuwa na nguvu ya kujadiliwa....leo hii hata Ruby aongee anavyotaka hamuoni kuwa hana tena popote kwa kuegemea? au hata TID ni nani hata anampa uzito wowote.
 
Una akili sana wewe. Hongera Mkuu.

nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
 
"ukiona forwards,strikers,mid fielders wote wamebanwa bhas ludisha mpira kwa kipa mjipange upya"alinambiaga kocha wangu enzi npo lipuli fc iringa,naona dada jide na yy kaludisha mpira kwa kipa....ametumia akili nzur
hahahahahaha nmeipenda hyoooo ......mpira pasi .
tupe picha mkuu
 
Lets grow up. Ni mangapi tunafanya na kubadili perspective mbele ya safari? Mimi na wewe tumeshafanya hivo mara nyingi.

Kila nikimuangalia Trump watu walivyomkandia kwamba hafai hata kwa bure...leo ndo wanapanga foleni kwenda kuomba interview...natambua kwamba maisha hayana formula.

Ukiona watu wanafanya amani..ni kumshukuru Mungu.
naunga mguu kwa hoja ya trump.

BBC,CNN AFP.walkuwa frontline undermine trump movement
 
Ndg yako Ruge ndo amesanda mpaka akenda kulia lia kwa media Xxl kumlilia komando Jide.
We ndo una akili za Mende tena ambaye bado yupo tunduni kwa sababu ungejua nani alianza kulia lia kuomba suluhu wala usingeleta ushuzi wako.
Boss Ruge kamwonea tu huruma asije akafa hapa mjini kwa usawa huu wa Magufuli
 
Back
Top Bottom