Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo anaweza kurudisha majeshi yake tena huyo mr mkojozo?Sasa ni full mkojozo,kama namuona captaaaaaaaaaain
Kujilia au "kumkojoza tena"?Hakuna mkate mgumu mbele ya chai .na mwanamke atabaki kuwa mwanamke ....na mwanaumee atabaki kuwa mwanaumee.......gadna yuleee anakujaa kujiliaa tena mtalaka wakeee kwa Mara nyinginee..big jayde
Kama Sugu Mwenyewe alikubali kupatana na Clouds Nani Mwingine anaweza kukaza?
Ruge si Mtu wa Mchezo mchezo
Hapo Ndio utajua clouds Ndio media kubwa nchini, kama nyimbo zake zingekuwa hazipigwi TBC wala usingesikia Kelele yyte,
maisha ya kisanii hayataki hasira ya muda mrefu.......ndi ndi ndi itapigwa kwenye Jahazi kama "wanaume kama mabinti"...na jamaa atagonga mzigo kama kawa......maisha yataendelea....waiting for the next drama!Kwa hiyo ndi ndi ndi itapigwa kwenye kipindi cha jahazi???
Kuna mtu amesema huko juu kuwa Ruge ndio initiator wa hayo mazungumzo, sasa sina uhakika kwa sababu sijafatilia. Ila naona watu wameanza kumhukumu jide kuwa ameshindwa ndio maana kajisalimisha, huyu dada alikuwa na element za kushindwa kweli? Au ushabiki unatusumbua?tuambie chanzo nini mkuu[emoji115]
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai .na mwanamke atabaki kuwa mwanamke ....na mwanaumee atabaki kuwa mwanaumee.......gadna yuleee anakujaa kujiliaa tena mtalaka wakeee kwa Mara nyinginee..big jayde
Mwan Fa na Jde wametoka mbali sana sema mshkaji kamsaliti kwa kipande cha mkateSa kina efuei itakuwaje?
Alipo tu ni mbali zaidi afike mbali ipi tena?So Jide has finally swallowed her pride! That's the best thing she could do... Akiendelea hivyo, atafika mbali zaidi...