Lady Jay Dee asalimu amri kwa Clouds, aruhusu nyimbo zake zipigwe rasmi

itakuwaje sasa yule aliemkojoza miaka 25 si bado yupo huko mawingu na bifu ndio lilimpa ajira mawingu sasa wife karudi hukohuko mzee chapa lapa
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai .na mwanamke atabaki kuwa mwanamke ....na mwanaumee atabaki kuwa mwanaumee.......gadna yuleee anakujaa kujiliaa tena mtalaka wakeee kwa Mara nyinginee..big jayde
Kujilia au "kumkojoza tena"?
 
Hapo Ndio utajua clouds Ndio media kubwa nchini, kama nyimbo zake zingekuwa hazipigwi TBC wala usingesikia Kelele yyte,

As if Jide ndio kaenda kupiga magoti wakati Rude na Clouds ndo walianzisha huu mjadala wa mapatano.
 
Kwa hiyo ndi ndi ndi itapigwa kwenye kipindi cha jahazi???
maisha ya kisanii hayataki hasira ya muda mrefu.......ndi ndi ndi itapigwa kwenye Jahazi kama "wanaume kama mabinti"...na jamaa atagonga mzigo kama kawa......maisha yataendelea....waiting for the next drama!
 
Duuuh!!!
Kweli mapambano ya wasanii na clouds yameshindikana!!!
 
tuambie chanzo nini mkuu[emoji115]
Kuna mtu amesema huko juu kuwa Ruge ndio initiator wa hayo mazungumzo, sasa sina uhakika kwa sababu sijafatilia. Ila naona watu wameanza kumhukumu jide kuwa ameshindwa ndio maana kajisalimisha, huyu dada alikuwa na element za kushindwa kweli? Au ushabiki unatusumbua?
 
Daaah watu wanapenda kutoa maoni bila hata kurejea taarifa za nyuma... [HASHTAG]#RUGE[/HASHTAG] siku kama 6 zilizopita alisema "sina bifu na jide... nangojea ruhusa kutoka kwake ili nyimbo zake zipigwe [HASHTAG]#CLOUDS[/HASHTAG]" sasa watu eti oohhh! Jide kasarenda ... sio sawa acheni watu wapatane ili dunia iwe sehemu bora ya kuishi.
 
...la muhimu hakuna tena bifu;habari za sijui nani kasanda nani kambwanda ni upuuzi tu!
 
Gadner Bilika limechemka kipoozeo komando huyo anakuja kupoza bilika
 
Kwa hiyo kakubali kwenda kunyonywa?

Hivi mtu uliyemfungia kioo kisa anakunyonya siku akikuambia njoo tena nije nikunyonye,utaenda?

Huu ni uthibitisho tosha kuwa habari za Clouds kumnyonya mtu ni hekaya tu.

Hata mahusiano kati ya Jide na wasanii wanaofanya kazi na Clouds yalififia,hope mambo yatakuwa poa sasa.

Kila la kheri Jide.
 
Mtu kula matapishi kunahitaji moyo kama was mwendawazimu!
Na bado, mpeni miaka mitatu tu, atakula tapishi kubwa zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…