chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Mnasema kweli?Jide ndio mtoto wa clouds,
kama walivyo TID, Ray C et al...kabla ya mziki wote walikuwa watangazaji hapo clouds
Ndio hivyo mkuuMnasema kweli?
Shangaa wewe utafikiri yeye ndo alianza kuomba suluhunashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na vile mtalaka hatongozwi naona mkojozo unakuja kwa mara nyingine tena..
Sasa luge mwenyewe ndo ameomba acha mapnz na luge kaka tena kwenye kipindi kabs mpk jide akasema kama management yake iki kubali bas sawa amna shida kwani ni siri ingia hata youtube video zipo acha uvivu bwasheeRuge kaamua kutumia busara tu kwa hiyo kauli... kwenye kesi, Jide ndie ameshindwa kesi! Sasa tangu lini aliyeshinda kesi akaomba poo? By the way, hivi unaamini kabisa ni Clouds ndio inamuhitaji Jide kuliko Jide anavyoihitaji Clouds??!!!
Mimi ni tofauti na wewe ambaye unaakili za kujidanganya. Mimi nasema kweli na nimekupa historia ya matukio mazima sasa kama unaakili za kujidanganya hayo sishughuliki nayo.Kwahiyo unataka kujidanganya kwamba Clouds wanamuhitaji sana Jide??!!!
Historia ya kweli ipi uliyoitowa? Historia ya kweli iliyopo ni kwamba Jide alitangaza hadharani kwamba siku akifa Ruge na Joe wakitokea wapigwe mawe! Aidha akatangaza hadharani kwamba Clouds wasipige nyimbo zake! Aidha, Clouds walimburuza Mahakamani Jide na kesi ikaamuliwa kwamba Jide ana hatia na anatakiwa kuwaomba msamaha Clouds!Mimi ni tofauti na wewe ambaye unaakili za kujidanganya. Mimi nasema kweli na nimekupa historia ya matukio mazima sasa kama unaakili za kujidanganya hayo sishughuliki nayo.
Hii habari.umeikutia kati.uliza mwanzo wake.Mjini pamekuwa pagumu kweli kweli.!
Dada machozi kaona anarudishe tu majeshi.
Samehe bure.Leo kwa mjumbe hawaa.tena taarifa ya habari ya habari.na matangazo ya vifo.nashangilia tu, na kumbeza Jide, ila mnasahau wiki iliyopita Ruge ndiye aliyeanzisha kutaka mapatano wakati akihojiwa na kituo chake. Kama Ruge aliona haya yanahitajika kufika mwisho, kwa nini kwa Jide ionekane kwetuu kama amelamba tapishi lake?
Kuna wakati nape nnauye tuna muonea bure.Hii pia itakuwa udaku sio? [emoji116] [emoji116]
View attachment 441509
Nni kweli clouds haiwez kusand kwa sababu ya jide, ila jide kwa kiss chake imrmpa hasara, kilichomsaidia ni ukongwe na mashabiki alionao, jide anajua bwana habahatishi, so nafhan ruge katumia busara yaishe, ila jide name aliendelra vzur tu bila cloudsAcha kuwa na akili kama za mende!
Clouds ni system haiwezekani system isande kwa mtu mmoja for what?