Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Niwewe kweli?
Lazima kuna sababu ya yeye kutohudhulia...
Tatizo naye anapenda mabeef sana mpaka anaboa[/QUO
yani ana mambo ya kiswaili sana
Kama anajiamini hazitaki hizo tuzo si awakataze kili wasimuweke mbona Tid, fa na Dully skyes wameshastop wasiwanominate why yeye akae tu kimya.
amuulize mwakilishi wake aliyemtuma kuhudhuria hafla hiyo.
Huenda alijipeleka hajatumwa, mwenye mbwa hajui kama kulikuwa na hizo tuzo, sasa ajabu 🐕 alikuwepo
Yan HZO tuzo bhana..
Eti BLUE hajawah kupata.
Eti TID hajawah kupata
Hata muasisi wa kubana pua Dullysykes hajawah kupata
Allykiba kapata 1 tu..
Dah
jide bado ana akili za kitoto ndo maana zinamrudisha nyuma,why doesnt she grow up?kila siku kutukana team clouds,kwa nini asikae kimya afanye maisha yake?
kutokuhudhulia - kutokuhudhuria
kazidi sana aisee. Hope next year hatapata tena coz mashabiki tumejua kuwa hahitaji tuzo, ke.nge kabsa