Lady Jay dee Auliza Tuzo za KTMA Zimeshafanyika?

Lady Jay dee Auliza Tuzo za KTMA Zimeshafanyika?

huyu mdafada ana bifu za kizamaaaani, inakera sasa ajipange upya...
 
Niwewe kweli?

attachment.php

Hahaha kumbe ni malia ndo alimuuliza hili swali lol!
 
Kuna fan wake kule Twitter kamwambia awe anahudhuria kuchukua tuzo. Unajua alichomjibu, Kwani zimeshafanyika? Hivi kweli huyu dada hajui kuwa zimefanyika na Tuzo kapewa? Team Anaconda inabidi mjitafakari upya.

Bonge la zarau
 
Labda sio yeye ila pia mm kaniboa nowdays kwani hajawahi hata cku moja kutokea kuchukua tuzo,ni mi zarau tu.hana mahala pengine popote alipopata tuzo zaidi ya tanzania ss mbwembwe za nn cjui.inaboa
 
Mbna kule twita alikua anaretweet tweets zilizokua zinahamasisha watu wampgie kura.

Angewaambia tu msinpgie kura.
Unakumbuka Choka alisemaje alipoenda kuchukua tuzo ya pili?

#Nakumbusha tuu mwaka jana Jide alikuwa ni mmoja wa Wasanii waliozunguka nchi nzima kwenye ile show kwa ajiri ya washindi wa KTMA ilijulikana kama Kili Music Tour

4.jpg
 
Kwa tunzo ambazo Vanessa Mdee kuwa msanii bora wa RnB bora alivyokausha ruge sio mtu mzuri kwa mziki wetu.
 
zile zinaratibiwa na wafu fm hawezi kwenda ni sawa na kujiunga nao, wacha tu wajipendekeze kumpa. Mimi binafsi naunga mkono kutokuhudhuria kwake. Umewahi kuona Juma Nature, Belle9 wanapewa zile tuzo na ujiulizi kwa nn? wanakuja kupewa kina Vanessa Mdee zile tuzo ni utumbo wa kitimoto
Hivi wanapewa bure au wanapigiwa kura...
 
kilichowaboa watu sio kutokwenda tuu, bali na jibu alilotoa baada ya kuulizwa kwanini huwa haudhuriii, mtu atume muwakilishi, tuzo apokee na kuipanga kwenye list, alafu eti ajidai hajui kama zilishafanyika, this is very stupid, binafsi aliniboa sana, huku ni kujishauwa tuu, kujidai hataki wala hamind, ili hali anataka basi atuambie kati ya zile tuzo 30 alizojinadi anazo za KTM hazipo kwenye hesabu, jdee kwa jibu hilo NO doupt wewe ni mshambaaaaaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom