kutokuhudhulia - kutokuhudhuria
au nilisikia vibaya wewe kwenye lile jopo la kijue kiswali ndo yule mzee nanilio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kutokuhudhulia - kutokuhudhuria
jide bado ana akili za kitoto ndo maana zinamrudisha nyuma,why doesnt she grow up?kila siku kutukana team clouds,kwa nini asikae kimya afanye maisha yake?
Kwani hizo tuzo huwa zinasaidia nini kwa mhusika?
wapi katukanajide bado ana akili za kitoto ndo maana zinamrudisha nyuma,why doesnt she grow up?kila siku kutukana team clouds,kwa nini asikae kimya afanye maisha yake?
Aachee tu tena awaambie wasiwe wanamuwekaaa basiii
fa not
Lazima kuna sababu ya yeye kutohudhulia...
FA alikataaa izo tuzo baada ya ''Bado nipo nipo" kukosa ata tuzo moja. wakampoza na show ya million 8 ndio ukamuona juzi ana perform ...we ujiulizi kama ni wapiga kura ndio wanahamua, Vanessa mdee anajulikana kwa wapiga kura wakitanzania tunaowajua zaidi ya Belle9 na Benpol ?? logic tu ya kawaida
jide bado ana akili za kitoto ndo maana zinamrudisha nyuma,why doesnt she grow up?kila siku kutukana team clouds,kwa nini asikae kimya afanye maisha yake?
zile zinaratibiwa na wafu fm hawezi kwenda ni sawa na kujiunga nao, wacha tu wajipendekeze kumpa. Mimi binafsi naunga mkono kutokuhudhuria kwake. Umewahi kuona Juma Nature, Belle9 wanapewa zile tuzo na ujiulizi kwa nn? wanakuja kupewa kina Vanessa Mdee zile tuzo ni utumbo wa kitimoto
au nilisikia vibaya wewe kwenye lile jopo la kijue kiswali ndo yule mzee nanilio?
Tatizo naye anapenda mabeef sana mpaka anaboa[/QUO
yani ana mambo ya kiswaili sana
Afu atakua ana incite haya ma beef mwenyewe.
Tatizo naye anapenda mabeef sana mpaka anaboa[/QUO
yani ana mambo ya kiswaili sana
Duh!!!!!!!!!!!!
kwani walim-consult kabla ya kumuweka?