Lady Jay dee Auliza Tuzo za KTMA Zimeshafanyika?

huyu mdafada ana bifu za kizamaaaani, inakera sasa ajipange upya...
 
Kuna fan wake kule Twitter kamwambia awe anahudhuria kuchukua tuzo. Unajua alichomjibu, Kwani zimeshafanyika? Hivi kweli huyu dada hajui kuwa zimefanyika na Tuzo kapewa? Team Anaconda inabidi mjitafakari upya.

Bonge la zarau
 
Labda sio yeye ila pia mm kaniboa nowdays kwani hajawahi hata cku moja kutokea kuchukua tuzo,ni mi zarau tu.hana mahala pengine popote alipopata tuzo zaidi ya tanzania ss mbwembwe za nn cjui.inaboa
 
Mbna kule twita alikua anaretweet tweets zilizokua zinahamasisha watu wampgie kura.

Angewaambia tu msinpgie kura.
Unakumbuka Choka alisemaje alipoenda kuchukua tuzo ya pili?

#Nakumbusha tuu mwaka jana Jide alikuwa ni mmoja wa Wasanii waliozunguka nchi nzima kwenye ile show kwa ajiri ya washindi wa KTMA ilijulikana kama Kili Music Tour

 
Kwa tunzo ambazo Vanessa Mdee kuwa msanii bora wa RnB bora alivyokausha ruge sio mtu mzuri kwa mziki wetu.
 
Hivi wanapewa bure au wanapigiwa kura...
 
kilichowaboa watu sio kutokwenda tuu, bali na jibu alilotoa baada ya kuulizwa kwanini huwa haudhuriii, mtu atume muwakilishi, tuzo apokee na kuipanga kwenye list, alafu eti ajidai hajui kama zilishafanyika, this is very stupid, binafsi aliniboa sana, huku ni kujishauwa tuu, kujidai hataki wala hamind, ili hali anataka basi atuambie kati ya zile tuzo 30 alizojinadi anazo za KTM hazipo kwenye hesabu, jdee kwa jibu hilo NO doupt wewe ni mshambaaaaaaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…