Lady Jay Dee Clouds na ugomvi usiokwisha

Mara clouds hatuipendi Mara Ohoo hatusikilizi!
Nyuzi 50 kwa siku zinaazishwa about clouds!
binadamu usiwaamini sana mkuu
wakati mwingine yatokayo mdomoni na matendo yapo mbalimbali kama mbingu na ardhi
 
We jamaa bwana,Sasa bifu la clouds na jide ,wewe unateseka nini? Kwani limeanza leo? Hakukua na haja ya uzi,hao watu walishaamua kuishi hivyo,maisha yakasonga..huu uzi ufungwe tu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mkuu,tulikuwa wote,BT tulivyofika hapo kwa mwanafalsafa uliniacha hatua buku jero
🏃🏾🏃🏾🏃🏾🔙🔜
 
Hata kama clouds washasemehe hawawezi tu kuanza kupiga nyimbo sababu jay dee alishasema hata akifa Leo hatak kusikia clouds wakipiga nyimbo zake.
Mwanzo walipatanishwa lakini haikufaa kwa sasa mheshimiwa mwakyembe labda awaite wakae chini walimalize hili suala once and for all
 
Hata mimi ndivyo ninavyoelewa.

Ugomvi wa Clouds na Jide ungekwisha wakati Jide yuko Rockstar.

Tatizo la mleta mada ashahitimisha kwamba JIDE ndo mkosaji, aombe msamaha Clouds eti kwa kuwa ndio waliomlea ??!

Katika mazingira hayo ya mmoja kujiona yuko juu, ndiye anaekosewa siku zote na kuombwa msamaha, usitegemee mgogoro kuisha.
 
wale walisha sameheana ila clouds yote kwa ujumla hasa waliopo kwenye music department ndo wagumu, hawataki nyimbo za jide zichezwe
 

tatizo ni kwamba komando jde soko la mziki wake limeshuka and clouds imewaubua mabint wakali zaidi yake

hawazi kushindana nao kwa sasa now amebaki kua na kinyongo tu na visasi visivyo na maaana chezea katoto ka juzi nandy
 
Hawajawahi kupatanishwa Jide na CMG ,akasililze interviews aliyofanya Jide na Dizzim.Umeshasamehe lakini utaki kupiga nyimbo,hivi unajua nini maana ya kusamehe?.
Mahakama yamkuta Lady JD na hatia ya kumtukana Ruge Mutahaba - JamiiForums

 
Bora anapumua mkuu na hela ya kula na bia anapata Kwa show zake binafsi , huyo dhurumati kaishia shimo la hewa na aibu juu ya kuomba michango .

Hakuna aliye msafi..I don't care hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mait haisemwi vibaya mkuu
Na zaid ya yote hakuna mkamilifu pengine huyo anaemuona shetan katika macho ya Mungu akawa mtukufu
Tusihukumu watu haswa ubaya au usafi wa mtu anaujua Mungu pekee
 
Naunga mkono hoja wa_squash beef na wasonge mbele,life is too short.
Inaonekana wote wajuaji wa mjini hakuna anaetaka kujishusha.

Kwenye mahusiano kama mmoja hatak kujishusha na kujifanya mtashindwana tu

Jide yeye anaona ana uwezo wa kusimama kama wao walimwaga ugali yeye kamwaga mboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…