Lady Jay Dee Clouds na ugomvi usiokwisha

Lady Jay Dee Clouds na ugomvi usiokwisha

Mara clouds hatuipendi Mara Ohoo hatusikilizi!
Nyuzi 50 kwa siku zinaazishwa about clouds!
binadamu usiwaamini sana mkuu
wakati mwingine yatokayo mdomoni na matendo yapo mbalimbali kama mbingu na ardhi
 
We jamaa bwana,Sasa bifu la clouds na jide ,wewe unateseka nini? Kwani limeanza leo? Hakukua na haja ya uzi,hao watu walishaamua kuishi hivyo,maisha yakasonga..huu uzi ufungwe tu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Mkuu,tulikuwa wote,BT tulivyofika hapo kwa mwanafalsafa uliniacha hatua buku jero
🏃🏾🏃🏾🏃🏾🔙🔜
 
Mungu ni mwepesi wa kusamehe,lakini mpaka mkosaji atakapotambua na kukubali alikosea,Je unamwambia Jide asamehee vipi hao waliomkosea walimfuata kumalizana naye?.

Alafu hao unaowaombea msamaha kwa Jide nilitegemea sasa hivi niskilize nyimbo za Jide,Rama dee ,Suma G nk ,baada ya kauli ile ya boasi wao kwenye msiba wa kibonde lakini mpaka sasa hivi sizisiki inawezekana nao wanapenda vita.
Hata kama clouds washasemehe hawawezi tu kuanza kupiga nyimbo sababu jay dee alishasema hata akifa Leo hatak kusikia clouds wakipiga nyimbo zake.
Mwanzo walipatanishwa lakini haikufaa kwa sasa mheshimiwa mwakyembe labda awaite wakae chini walimalize hili suala once and for all
 
Huu uzi ni wa kipuuzi kabisa kuwepo katika Jf... mleta mada kachambua maneno ya miaka mingi na kayafanya kama ndio mapya wakati Jide na clouds walishasameheana miaka ishapita Tatizo lilibakia Kwa clouds waliposameheana hawakupiga nyimbo za Jide watu wakawauliza clouds vipi clouds wakajibu kuwa Jide hajaruhusu zipigwe watu wakamfuata Jide ajibu Jide akasema sijawahi kataza mimi wamuulize Seven ndio meneja wa Jide Seven akaulizwa akasema pigeni nyimbo zote. . Akamaliza Clouds hawakupiga hadi leo hii... Jide alishangazwa akasema maybe wamesamehe nusu akanyamaza... Mleta mada ni Mpumbavu apuuzwe Kwa kuandika mambo asiyoyajua
Hata mimi ndivyo ninavyoelewa.

Ugomvi wa Clouds na Jide ungekwisha wakati Jide yuko Rockstar.

Tatizo la mleta mada ashahitimisha kwamba JIDE ndo mkosaji, aombe msamaha Clouds eti kwa kuwa ndio waliomlea ??!

Katika mazingira hayo ya mmoja kujiona yuko juu, ndiye anaekosewa siku zote na kuombwa msamaha, usitegemee mgogoro kuisha.
 
wale walisha sameheana ila clouds yote kwa ujumla hasa waliopo kwenye music department ndo wagumu, hawataki nyimbo za jide zichezwe
 
Haijalishi mmekosana nini ni wakati sasa kukaa mezani musameheane haya maisha tu afu ukizingatia mshakuwa watu wazima

Tumefundishwa kuwa binadamu hatokuja kupenda kamwe hadi pale atakapompenda anaemkuchukia.na mukumbuke kuwa msamaha ni kitu tunachokitoa kuwapa wengine ila kiukweli ni zawadi tunayojipa sisi wenyewe.

Na unaposamehe haimaanishi unalazimishwa kusahau kuna ubaya m
wingine hausahauliki lakini haupaswi kumchukia mtu bali unapaswa kuchukia matendo yake.


Wakati mwingine Mungu huzungumza nasi kwa matendo hivyo labda misiba hii imetokea labda iwe sababu ya Judith kumaliza ugomvi wako na clouds kwani tunafahamu ndio iliokulea na tulianza kukufamu kupitia tasnia ya sanaa ukiwa mtangazaji na mwanafamilia wa clouds siku zote tumetamani sana kuona ugomvi wenu unakwisha .

Kuishi kwa amani na mapenzi ni muhimu sana hasa kwa nyakati hizi, dunia leo imekuwa sio tena sehemu salama ya kujivunia kama ilivyokuwa zaman, vita mauaji na uhalifu leo imekuwa sehemu ya maisha yetu, na chanzo haswa ya yote hayo ni chuki visasi visivyo na suluhu. Na visasi mnapoviweka moyoni huwa kama mzigo ambao unaowatafuna taratibu sio yule tu unaemuwekea visasi bali na wewe mwenyewe, naamini chini ya jua hakuna kosa lisilosameheka( dunia tunapita na vyote tunavyoviona ni starehe ya muda mfupi)ndo mana tukaambiwa tuwe wepesi wa kusamehe sio mara saba tu bali saba mara sabini.
View attachment 1043836


Mwanafalsafa mchina Confucius aliwahi kusema:
“before you embark on a journey of revenge, dig two graves”


TUSIISHI KWA VISASI KILA MTU NI MWEMA KULIKO UNAMVYOFIKIRIA

Nawatakia siku njema wana jamii forum wenzangu wote nawapenda sana

tatizo ni kwamba komando jde soko la mziki wake limeshuka and clouds imewaubua mabint wakali zaidi yake

hawazi kushindana nao kwa sasa now amebaki kua na kinyongo tu na visasi visivyo na maaana chezea katoto ka juzi nandy
 
Hata kama clouds washasemehe hawawezi tu kuanza kupiga nyimbo sababu jay dee alishasema hata akifa Leo kusikia clouds wakipiga nyimbo zake.
Mwanzo walipatanishwa lakini haikufaa kwa sasa mheshimiwa mwakyembe labda awaite wakae chini walimalize hili suala once and for all
Hawajawahi kupatanishwa Jide na CMG ,akasililze interviews aliyofanya Jide na Dizzim.Umeshasamehe lakini utaki kupiga nyimbo,hivi unajua nini maana ya kusamehe?.
Mahakama yamkuta Lady JD na hatia ya kumtukana Ruge Mutahaba - JamiiForums

 
Bora anapumua mkuu na hela ya kula na bia anapata Kwa show zake binafsi , huyo dhurumati kaishia shimo la hewa na aibu juu ya kuomba michango .

Hakuna aliye msafi..I don't care hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mait haisemwi vibaya mkuu
Na zaid ya yote hakuna mkamilifu pengine huyo anaemuona shetan katika macho ya Mungu akawa mtukufu
Tusihukumu watu haswa ubaya au usafi wa mtu anaujua Mungu pekee
 
Naunga mkono hoja wa_squash beef na wasonge mbele,life is too short.
Inaonekana wote wajuaji wa mjini hakuna anaetaka kujishusha.

Kwenye mahusiano kama mmoja hatak kujishusha na kujifanya mtashindwana tu

Jide yeye anaona ana uwezo wa kusimama kama wao walimwaga ugali yeye kamwaga mboga
 
Back
Top Bottom