Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadri anavyosema " I don't care" ndivyo anavyodhirihisha She cares or minds a lot!
ndiyo hvyo mkuu kama mwenzako ameshika mpini wewe utaumia tuHili bifu kuna mmoja limempoteza kabisaa! Ajitathimini huko aliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekudanganya ni nani?Kinyongo na chuki isiyo koma dhidi ya wengine, ni ishara ya udhaifu na kutojiamini.
Ikiwa ulikosewa ukasamehe, inaashiria ushujaa na kujiamini lakini pia ndio ukamilifu wa ubinadamu
[emoji2398]
Hata kama clouds washasemehe hawawezi tu kuanza kupiga nyimbo sababu jay dee alishasema hata akifa Leo hatak kusikia clouds wakipiga nyimbo zake.Mungu ni mwepesi wa kusamehe,lakini mpaka mkosaji atakapotambua na kukubali alikosea,Je unamwambia Jide asamehee vipi hao waliomkosea walimfuata kumalizana naye?.
Alafu hao unaowaombea msamaha kwa Jide nilitegemea sasa hivi niskilize nyimbo za Jide,Rama dee ,Suma G nk ,baada ya kauli ile ya boasi wao kwenye msiba wa kibonde lakini mpaka sasa hivi sizisiki inawezekana nao wanapenda vita.
Hata mimi ndivyo ninavyoelewa.Huu uzi ni wa kipuuzi kabisa kuwepo katika Jf... mleta mada kachambua maneno ya miaka mingi na kayafanya kama ndio mapya wakati Jide na clouds walishasameheana miaka ishapita Tatizo lilibakia Kwa clouds waliposameheana hawakupiga nyimbo za Jide watu wakawauliza clouds vipi clouds wakajibu kuwa Jide hajaruhusu zipigwe watu wakamfuata Jide ajibu Jide akasema sijawahi kataza mimi wamuulize Seven ndio meneja wa Jide Seven akaulizwa akasema pigeni nyimbo zote. . Akamaliza Clouds hawakupiga hadi leo hii... Jide alishangazwa akasema maybe wamesamehe nusu akanyamaza... Mleta mada ni Mpumbavu apuuzwe Kwa kuandika mambo asiyoyajua
Haijalishi mmekosana nini ni wakati sasa kukaa mezani musameheane haya maisha tu afu ukizingatia mshakuwa watu wazima
Tumefundishwa kuwa binadamu hatokuja kupenda kamwe hadi pale atakapompenda anaemkuchukia.na mukumbuke kuwa msamaha ni kitu tunachokitoa kuwapa wengine ila kiukweli ni zawadi tunayojipa sisi wenyewe.
Na unaposamehe haimaanishi unalazimishwa kusahau kuna ubaya m
wingine hausahauliki lakini haupaswi kumchukia mtu bali unapaswa kuchukia matendo yake.
Wakati mwingine Mungu huzungumza nasi kwa matendo hivyo labda misiba hii imetokea labda iwe sababu ya Judith kumaliza ugomvi wako na clouds kwani tunafahamu ndio iliokulea na tulianza kukufamu kupitia tasnia ya sanaa ukiwa mtangazaji na mwanafamilia wa clouds siku zote tumetamani sana kuona ugomvi wenu unakwisha .
Kuishi kwa amani na mapenzi ni muhimu sana hasa kwa nyakati hizi, dunia leo imekuwa sio tena sehemu salama ya kujivunia kama ilivyokuwa zaman, vita mauaji na uhalifu leo imekuwa sehemu ya maisha yetu, na chanzo haswa ya yote hayo ni chuki visasi visivyo na suluhu. Na visasi mnapoviweka moyoni huwa kama mzigo ambao unaowatafuna taratibu sio yule tu unaemuwekea visasi bali na wewe mwenyewe, naamini chini ya jua hakuna kosa lisilosameheka( dunia tunapita na vyote tunavyoviona ni starehe ya muda mfupi)ndo mana tukaambiwa tuwe wepesi wa kusamehe sio mara saba tu bali saba mara sabini.
View attachment 1043836
Mwanafalsafa mchina Confucius aliwahi kusema:
“before you embark on a journey of revenge, dig two graves”
TUSIISHI KWA VISASI KILA MTU NI MWEMA KULIKO UNAMVYOFIKIRIA
Nawatakia siku njema wana jamii forum wenzangu wote nawapenda sana
Hawajawahi kupatanishwa Jide na CMG ,akasililze interviews aliyofanya Jide na Dizzim.Umeshasamehe lakini utaki kupiga nyimbo,hivi unajua nini maana ya kusamehe?.Hata kama clouds washasemehe hawawezi tu kuanza kupiga nyimbo sababu jay dee alishasema hata akifa Leo kusikia clouds wakipiga nyimbo zake.
Mwanzo walipatanishwa lakini haikufaa kwa sasa mheshimiwa mwakyembe labda awaite wakae chini walimalize hili suala once and for all
Mait haisemwi vibaya mkuuBora anapumua mkuu na hela ya kula na bia anapata Kwa show zake binafsi , huyo dhurumati kaishia shimo la hewa na aibu juu ya kuomba michango .
Hakuna aliye msafi..I don't care hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
#The People's Station,,Inakufungulia dunia uwe unachotaka.Mara clouds hatuipendi Mara Ohoo hatusikilizi!
Nyuzi 50 kwa siku zinaazishwa about clouds!
Inaonekana wote wajuaji wa mjini hakuna anaetaka kujishusha.Naunga mkono hoja wa_squash beef na wasonge mbele,life is too short.
Clouds ilikuwa Monopoly.Unamzungumzia marehem Couds?