warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hakuna msanii aliyebebwa na Clouds kwa kiwango cha juu kama Jide, pamoja na juhudi zake na kuwa na mume ambaye yupo kwenye media industry imechangia mafanikio yake. Na ninaamini kama angekuwa na maelewano mazuri na clouds/KILI awards angekuwa kuna kitu kingeongezeka ktk mafanikio yake, unakumbuka Clouds walivyokuwa wanaipasha nyumbani Lounge kipindi anaanza? siku hizi hapabambi kivile.
Hapaswi kuridhika na mafanikio aliyonayo na kuwa na kiburi hivyo.
Wasanii kama Ray C alipotea mwenyewe kwa ujinga wa kula unga.
Ray c alipotea kwa UJINGA wa kula unga, umeona point niliyokuwa naitaka mimi apo? Kwamba jide sio mpumbavu wala mjinga kama wasanii wengine, ray c kabebwa wee juzi kat na clouds mikwar kibao lakini yuko wapi?
Sasa mkuu, hata kama clouds walimtangaza jide dunia nzima so what labda? Unataka waabudiwe? Only God deserves that, na sio clouds kijana, acha mawazo mgando, naona unakuja na mada mpya, sasa ivi umekuja na mgahawa, dah, yan kama clouds ingekuwa inawabeba wasanii mpka kujenga mgawaha pale kinondon, ivi unajua kiwanja kanunua bei gan? Ujenzi je? Hapana chezeya jide bhana, she rocks miaka mia, nothing compares