Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Jide ameonyesha kuipenda na kufurahia tweet ya shabiki mmoja asiyejua muziki.

Ni wazi 'like' aliyotoa Jide inaonyesha chuki aliyonayo kwa Zuchu ambae ni kama mtoto wa kumzaa kwake. Maoni ni mengi mtandaoni na watanzania wanasema Zuchu ndio kipenzi chao na kwenye uimbaji hana mpinzani kwa sasa, waliosema ni wananchi sio Zuchu sielewi wewe dada kwa nini Zuchu anakunyima usingizi

Nataka tu kumwambia Jide, kama watanzania wameamua kwa sauti moja kumpitisha Zuchu kuwa malkia mpya wa bongofleva.. Hauwezi kuzuia maana wakati wako umepita, muziki wa bongofleva kwa kina dada ni wa Zuchu kwa sasa.

Usitume wahuni kuchafua wenzio acha kazi ziongee mwisho wa siku dunia itasema nani ni zaidi, kutangulia kuimba sio kujua kuliko wote

 
Ukweli ndio huo mkuu Zuchu huwezi mringanisha na Nandy, Jay dee, Vanessa, Maua au Lulu diva ni uongo kabisa kwanza hawezi akasimama akapafom yeye kama yeye maana hana hata hit songs, ni mapema mno kuanza kumlinganisha ni empty shell kabisa...
 
Mashabiki wa wasafi sijui mna matatizo gani.!!

Sasa unaweza mfananisha Zuchu na Jaydee.????

Hata kwa Ray c bado hajafika kabisa, sahiv yupo kwenye zile level za kina Linah..

Zuchu hamfikii hata Mwasiti..

Alafu kwani mkisema tu Zuchu ni mkali bila kuwaingiza wasanii wengine kuna tatizo.??

Let say kwasababu Roma anavuma kwa sasa kwahiyo Roma ni mkali zaidi ya Prof.Jay.???

Hizo bange sijui mnavutia m@k@|‘●.????
 

Zuchu ni upcoming artist na ana potential yake lakini bado sana kufikia stage ya kuitwa malkia wa bongo flava
 
Umemaliza
 
Ukiona wengi wanamfananisha na kumpambanisha Zuchu na wasanii wakubwa basi jua she's more talented kiasi kwamba watu washaanza kumuogopa. Wakati nandy, na maua sama wanapanda kwenye charts hakuwepo mtu wa kuwapambanisha leo anatoka Zuchu limeibuka kundi la haters ambao kila siku ni kumponda na kumpambanisha na wasanii wakike waliotangulia "mara hana uwezo kushinda Nandy, Maua Sama na Mimi mars", "Oh, anabebwa na label", "Oh, muimba taarab", "Oh, pose zile zile", "Oh, she's not sexy".
Hizi ni ishara kuwa Zuchu ni nitishio kwao, pia wasichojua kuwa Zuchu alikuwa msanii aliyekamilika tangu akiwa anaingia Wasafi 4yrs ago, amekaa pale akisoma game na strategy za ku-win pia kuongeza maujuzi lakini angeweza kutoka enzi Nandy ni mbichi kwenye game.
Watu wanatakiwa kutulia kumpa nafasi Zuchu afanye kile akipendacho kama ilivyokuwa kwa wasanii wengini kumu-attack means ni tishio kwa mashabiki wa wasanii pambanishwa, na bado Zuchu ataendelea kuwanyima usingizi bado mapema mno kulalamika! 😁😁😁
 
Ukweli ndio huo mkuu Zuchu huwezi mringanisha na Nandy, Jay dee, Vanessa, Maua au Lulu diva ni uongo kabisa kwanza hawezi akasimama akapafom yeye kama yeye maana hana hata hit songs, ni mapema mno kuanza kumlinganisha ni empty shell kabisa...
Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…