Kikubwa alichofanya Jay dee ambacho Zuchu na wasanii wengine wakike hawawezi kukifanya ni "consistency", mara ya kwanza umesikia hit song ya Jay dee ni lini na mara ya mwisho ni lini.?????hiki kitu wameshindwa kina Stara thomas, Ray c, Vumilia e.t.c
Kwasababu hizi coments zitakuwepo tuombe uzima tuwe hai mwaka 2030 alafu ntakuuliza yukwapi Zuchu.!!
Mbona hata Vanessa mdee mlisema ni mkali zaidi ya Jide, sahivi yukwapi.???
Hapa East Africa, HAkuna, nasisitiza hakuna wakumfikia Jide kwa wasanii wa kike.!!!
To remind you: MNAMKUBALI SANA BOSS WENU DIAMOND KWASABABU YA KUBANIWA NA CLOUDS LAKINI BADO AKABAKI JUU, SASA HICHO ALICHOFANYA DIAMOND CHA KUIDINDISHIA CLOUDS NA AKAFANIKIWA AMEKIFANYA AKIWA NA MAMENEJA BORA WA BONGO FLEVA WA3(SALAAM, TALE, FELA), JIDE ALIKIFANYA AKIWA PEKEYAKE NA AKAFANIKIWA TENA HAO AKINA FELA NA TALE WALIKUWA UPANDE WA CLOUDS,..
NI WASANII WA3 TU WALIOWAHI KUINGIA BEEF NA CLOUDS NA WAKAFANIKIWA KUENDELEA KUWA JUU...
1.SUGU
2.JAY DEE
3.DIAMOND
Ndugu, Zuchu hajafika hata levels za Nandy, Ruby, sahivi yupo zile level alizokuwaga yule anaitwa Rachel kizunguzungu tofauti yao ni EP tu..
Akitoka hapo itabidi a climb kwa Nandy + Ruby + Linah, akitoka hapo aende level za kina Mwasiti + Vanessa mdee, akitoka hapo aende level za kina Ray c , akitoka hapo mpe miaka 10 awe anafanya vizuri kwenye game ndiyo tuje kumfananisha na Comando...