Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Zuchu ni level ya Shabba Ranks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Jide ana nini haswa cha tofauti kwenye muziki.. Au kutangulia kuimba?East Africa jide hafanani na kikaragosi chochote cha jinsia yake jide ni comando na msanii mzuri kweli kweli
Zuchu ana kitu ndio maana watu wanaweweseka.Ukiona wengi wanamfananisha na kumpambanisha Zuchu na wasanii wakubwa basi jua she's more talented kiasi kwamba watu washaanza kumuogopa. Wakati nandy, na maua sama wanapanda kwenye charts hakuwepo mtu wa kuwapambanisha leo anatoka Zuchu limeibuka kundi la haters ambao kila siku ni kumponda na kumpambanisha na wasanii wakike waliotangulia "mara hana uwezo kushinda Nandy, Maua Sama na Mimi mars", "Oh, anabebwa na label", "Oh, muimba taarab", "Oh, pose zile zile", "Oh, she's not sexy".
Hizi ni ishara kuwa Zuchu ni nitishio kwao, pia wasichojua kuwa Zuchu alikuwa msanii aliyekamilika tangu akiwa anaingia Wasafi 4yrs ago, amekaa pale akisoma game na strategy za ku-win pia kuongeza maujuzi lakini angeweza kutoka enzi Nandy ni mbichi kwenye game.
Watu wanatakiwa kutulia kumpa nafasi Zuchu afanye kile akipendacho kama ilivyokuwa kwa wasanii wengini kumu-attack means ni tishio kwa mashabiki wa wasanii pambanishwa, na bado Zuchu ataendelea kuwanyima usingizi bado mapema mno kulalamika! [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa nini asifananishwe labda? Hao uliowataja wamefanya nini ambacho Zuchu awezi kukifanya?Mashabiki wa wasafi sijui mna matatizo gani.!!
Sasa unaweza mfananisha Zuchu na Jaydee.????
Hata kwa Ray c bado hajafika kabisa, sahiv yupo kwenye zile level za kina Linah..
Zuchu hamfikii hata Mwasiti..
Alafu kwani mkisema tu Zuchu ni mkali bila kuwaingiza wasanii wengine kuna tatizo.??
Let say kwasababu Roma anavuma kwa sasa kwahiyo Roma ni mkali zaidi ya Prof.Jay.???
Hizo bange sijui mnavutia m@k@|¡●.????
Zuchu ni nani?
Watanzania gani?Mkuu sio mimi niliomringanisha ni watanzania ndio wanasema uwezo wa Zuchu ni mkubwa kuliko hao waliomtangulia.
Na unaposema hawezi kupafom yeye kama yeye ni lini umemuona kasimama jukwaani akashindwa kupafom? Tuwasikilize watanzania sio wajinga.
Power of Promotion, assume Zuchu asingekua chini ya WCB au wasingemfanyia hiyo promo kubwa walioyoifanya yaani angekua wa kawaida sana kuliko hata Queen Darlin ambaye hajawahi kufanyiwa any kind of big promo na kaka yake/Management,Zuchu ana kitu ndio maana watu wanaweweseka.
Wanasema kwa kuwa yupo Wasafi ndio maana anazungumzwa lakini tukumbuke hata Queen Darlin yupo Wasafi toka inaaanza.
Kama una jicho la ziada lazima ukubali kuna kitu kwa huyu mtoto tena kikubwa.
Huo ung'aavu ndio unawafanya mpaka waliotangulia kuweweseka.
Kwani hao wasanii wakubwa kina Nandy hawafanyiwi promotion?Power of Promotion, assume Zuchu asingekua chini ya WCB au wasingemfanyia hiyo promo kubwa walioyoifanya yaani angekua wa kawaida sana kuliko hata Queen Darlin ambaye hajawahi kufanyiwa any kind of big promo na kaka yake/Management,
Wewe unawakilisha haters, nenda youtube, tiktok na instagram ndio utawajua watanzania naowazungumzia.Watanzania gani?
Ama tunao comment hapa ni wa'kenya?
Too much promotions erode brand
Yani kumtaja tu Gigy Money kwenye uimbaji nishaelewa uwezo wako wa kufahamu muziki, haustaili kuwepo kwenye hii thread.Mimi ni shabiki wa WCB, lakini lazima tukubaliane Kipaji cha Zuchu ni cha kawaida mno, yuko highly overatted, (Zuchu - WCB = Zero)Siwezi kumfananisha hata na Gigy Money wa Nampa Papa au Queen Darlin
Wewe unawakilisha haters, nenda youtube, tiktok na instagram ndio utawajua watanzania naowazungumzia.
Media zote kubwa za burudani hazijawai piga nyimbo za Zuchu lakini watu bado wanalalamika anabebwa na promo, ila anaepigwa na kila media hapa nchini wanasema anabebwa na uwezo.Kwani hao wasanii wakubwa kina Nandy hawafanyiwi promotion?
Mind you, Zuchu ametoa extended playlist akiwa anasikika katika platforms chache kushinda kina Nandy na wengineo
Ni mapema mno na sio heshima kabisa kuanza kumlinganisha Zuchu na Legends kama Jide ambao wametengeneza framework kwa wasanii wengine wote wakike kwa waume lakini ni mapema mno kuanza kubeza kipaji cha zuchu kisa tuu yupo WCB
Sent using Jamii Forums mobile app
Wananchi ndio walaji wa muziki ndio kipimo nani anaejua muziki. Ndio maana wote wanaosifiwaga hapa ni mafundi wa muziki uwezi kukuta wamepenya uswahilini.ningekuw karibu hapo ningekupiga bonge la kofi kwann unakuwa mbishi unapoelekezwa na wanao elewa mziki?
zuchu bado saaan kumfananisha na hao watu mbali na jayde
Ok, naenda huko uliposema.Wewe unawakilisha haters, nenda youtube, tiktok na instagram ndio utawajua watanzania naowazungumzia.
ndio kinachoshangaza hapo, Kuna watu kazi zao zinapigwa E FM , Clouds FM , EA Radio, wanapewa interviews kibao kwenye TV zote ila bado kazi zao haziendi ila mtoto wa watu nyimbo zake zinapigwa Wasafi tuu ambayo mkoani haisikiki na bado anawakimbiza halafu wanatuambia promo !!!!Media zote kubwa za burudani hazijawai piga nyimbo za Zuchu lakini watu bado wanalalamika anabebwa na promo, ila anaepigwa na kila media hapa nchini wanasema anabebwa na uwezo.
Ngoja muda utasema na tutaelewana.
Wewe unadai wasikilizwe Watanzania, lakini watanzania hao hao wakiwa upande wa Kommando Jay dee hutaki.Kwani Jide ana nini haswa cha tofauti kwenye muziki.. Au kutangulia kuimba?