Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Uliona wapi, ujue yeye pia anagawio lake sawa.Ndo ukweli,nimuonee wivu huyu ??????Mtu ambae akifanya show mapato yote yanakwenda kwa kina Salaam?
Jide ameshapatana na Clouds, kwa sasa wanapiga nyimbo zakeJide katengenezwa na Ruge Mutahaba, maybe wakati wa Smooth Vibes label wengi mlikuwa bado mnanyonya.
Ndio maana alipoachwa asimame mwenyewe na shughuli yake ikaishia hapo amebaki kuwalaum Clouds kwa kuacha kumbeba.
Ilikuwa lazima apatane nao. Maana kaona asipofanya hivyo yeye ndo anaepoteza. Hivi Nyumbani Lounge ilifia wapi ?Jide ameshapatana na Clouds, kwa sasa wanapiga nyimbo zake
Kwa hiyo Jide na Zuchu wote wanategemea mbereko za wakubwa wao ?Ilikuwa lazima apatane nao. Maana kaona asipofanya hivyo yeye ndo anaepoteza. Hivi Nyumbani Lounge ilifia wapi ?
Pigia mstari.Kwa hiyo Jide na Zuchu wote wanategemea mbereko za wakubwa wao ?
Ila Zuchu ni basi tu Diamond hawezi kukubali kuteleza, ila Zuchu ni usajili mbovu kuliko wote uliowahi kufanyika pale WCB,Ha ha zuchu vs lady jay dee?we huyo demu labda umfananishe na gigy money ama amber rutty, hata ruby ama mwasiti haingii level zao
eongea ukweli hats kisura hana mvuto kabebwa na level kama mbosoUkweli ndio huo mkuu Zuchu huwezi mringanisha na Nandy, Jay dee, Vanessa, Maua au Lulu diva ni uongo kabisa kwanza hawezi akasimama akapafom yeye kama yeye maana hana hata hit songs, ni mapema mno kuanza kumlinganisha ni empty shell kabisa...
Utakuafa na kijiba Cha roho, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ZUCHU NI QUEEN OF BONGO FLAVOR CURRENTLYIla Zuchu ni basi tu Diamond hawezi kukubali kuteleza, ila Zuchu ni usajili mbovu kuliko wote uliowahi kufanyika pale WCB,
Hatuangalii heshima tunaangalia nani Bora kwa wakati huuJide Ana heshima yke.... Msimfafanishe na huyo mtoto
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
JF waweke gender tick nashidwa kuelewa jinsia za wachangiaji!
Zuchu ni uwekezaji mbovu kupita wote Tanzania.Utakuafa na kijiba Cha roho, [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ZUCHU NI QUEEN OF BONGO FLAVOR CURRENTLY
Promo anayopewa chuchu ni kubwa kuliko talent aliyonayo.Hatuangalii heshima tunaangalia nani Bora kwa wakati huu
Hivi Mnatumia kipengele kipi kufahamu kama ni bora?Hatuangalii heshima tunaangalia nani Bora kwa wakati huu