Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

Jide katengenezwa na Ruge Mutahaba, maybe wakati wa Smooth Vibes label wengi mlikuwa bado mnanyonya.

Ndio maana alipoachwa asimame mwenyewe na shughuli yake ikaishia hapo amebaki kuwalaum Clouds kwa kuacha kumbeba.
Jide ameshapatana na Clouds, kwa sasa wanapiga nyimbo zake
 
Ha ha zuchu vs lady jay dee?we huyo demu labda umfananishe na gigy money ama amber rutty, hata ruby ama mwasiti haingii level zao
 
Ha ha zuchu vs lady jay dee?we huyo demu labda umfananishe na gigy money ama amber rutty, hata ruby ama mwasiti haingii level zao
Ila Zuchu ni basi tu Diamond hawezi kukubali kuteleza, ila Zuchu ni usajili mbovu kuliko wote uliowahi kufanyika pale WCB,
 
Ukweli ndio huo mkuu Zuchu huwezi mringanisha na Nandy, Jay dee, Vanessa, Maua au Lulu diva ni uongo kabisa kwanza hawezi akasimama akapafom yeye kama yeye maana hana hata hit songs, ni mapema mno kuanza kumlinganisha ni empty shell kabisa...
eongea ukweli hats kisura hana mvuto kabebwa na level kama mboso
 
Jaydee ni mchonga barabara, msifananishe na hizi gari zinazokimbia baada ya akina Jaydee kuchonga barabara...
 
Halafu hawa Clouds kupiga nyimbo za Jide sasa hivi au kipindi hiki ina maanisha late Ruge ndio alikuwa tatizo au vipi?
 
Back
Top Bottom