Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

mi naipenda WCB.
Shabiki mkubwa mno wa Diamond.
ila Zuchu tafadhali, tubaki kumsikiliza baada ya ufundi wa Laizer.
 
Hawa ndio waliofanya mabadiliko makubwa sana mpaka jamii nzima kuukubali mziki wa vijana ambao leo hii wamekuja na timu timu zao matusi na ushenzi ushenzi.
Humo yumo Jide...
 
Jide kajitengeneza mwenyewe ni komando , huyo mwingine katengenezwa hana maajabu yeyote , hakuna zuchu bila Wasafi ila Jide anasimama mwenyewe hateteleki, msifananishe vitu vya kipuuzi mbwa nyie
Binamu nimekumic mnoooooh, hebu lete na umbea bhana lol.
 
Jide kajitengeneza mwenyewe ni komando , huyo mwingine katengenezwa hana maajabu yeyote , hakuna zuchu bila Wasafi ila Jide anasimama mwenyewe hateteleki, msifananishe vitu vya kipuuzi mbwa nyie
Jide katengenezwa na Ruge Mutahaba, maybe wakati wa Smooth Vibes label wengi mlikuwa bado mnanyonya.

Ndio maana alipoachwa asimame mwenyewe na shughuli yake ikaishia hapo amebaki kuwalaum Clouds kwa kuacha kumbeba.
 
Kama unaujuaa ndo kabisaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huwezi sema unaujua alafu unamfananisha J dee na zuchu..?? Wtf???
Kaangalie online platforms, nowdays number don't lie? Jaydee zamani but for now ZUCHU TAMBA TAMBA SANA
 
Kaangalie online platforms, nowdays number don't lie? Jaydee zamani but for now ZUCHU TAMBA TAMBA SANA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jiono njema mkuu maana naona ntapoteza muda tu hapaa.
 
Jide kajitengeneza mwenyewe ni komando , huyo mwingine katengenezwa hana maajabu yeyote , hakuna zuchu bila Wasafi ila Jide anasimama mwenyewe hateteleki, msifananishe vitu vya kipuuzi mbwa nyie
Kwanza ile show yake ambayo kiingilio ilikuwa mamilioni ya pesa nilikaa nikawa namsikiliza huyo zuchu maana hata nilikuwa simjui.
Yaani sikuona kipaji hicho wanachokisema humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom