Jide ameonyesha kuipenda na kufurahia tweet ya shabiki mmoja asiyejua muziki.
Ni wazi 'like' aliyotoa Jide inaonyesha chuki aliyonayo kwa Zuchu ambae ni kama mtoto wa kumzaa kwake. Maoni ni mengi mtandaoni na watanzania wanasema Zuchu ndio kipenzi chao na kwenye uimbaji hana mpinzani kwa sasa, waliosema ni wananchi sio Zuchu sielewi wewe dada kwa nini Zuchu anakunyima usingizi
Nataka tu kumwambia Jide, kama watanzania wameamua kwa sauti moja kumpitisha Zuchu kuwa malkia mpya wa bongofleva.. Hauwezi kuzuia maana wakati wako umepita, muziki wa bongofleva kwa kina dada ni wa Zuchu kwa sasa.
Usitume wahuni kuchafua wenzio acha kazi ziongee mwisho wa siku dunia itasema nani ni zaidi, kutangulia kuimba sio kujua kuliko wote
View attachment 1466104