Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

Lady Jay Dee lazima ukubali, huu ni wakati wa Zuchu

innocent dependent hahaha kijana usinihamishie mawazo yako kichwani mwangu.

Narudia tena, nampongeza Diamond kwa kazi zake zoote anazofanya kupeperusha bendera ya Taifa kwenye muziki.

innocent dependent mimi ni mtu mwenye mawazo huru siongozwi na hisia za kichawi, mtu akifanya vizuri nampongeza na akifanya vibaya namkosoa.
Kati ya Konde boi na Diamond mimi nimechagua kuwa shabiki wa Konde Boi ila Diamond akifanya vizuri nampongeza coz sina tabia za kichawi.
 
Usipende kudandia treni kwa mbele..
Vita ya clouds na Diamond ilianza lini.? Media zake binafsi alianzisha lini.??
Upo sahihi ila tunapingana kwa kusema diamond kashinda Vita dhidi ya clouds eti kwasababu ana mameneja Kama sallam, Babu tale na mkubwa fela.suala la kuwa na Media Nimezungumza Kama eneo litalomfanya akae kwenye game muda mrefu ila sijasema kama ulivyomaanisha wewe
 
comrade Diamond anatoa lini ngoma mpya?
 
innocent dependent hahaha kijana usinihamishie mawazo yako kichwani mwangu.

Narudia tena, nampongeza Diamond kwa kazi zake zoote anazofanya kupeperusha bendera ya Taifa kwenye muziki.

innocent dependent mimi ni mtu mwenye mawazo huru siongozwi na hisia za kichawi, mtu akifanya vizuri nampongeza na akifanya vibaya namkosoa.
Kati ya Konde boi na Diamond mimi nimechagua kuwa shabiki wa Konde Boi ila Diamond akifanya vizuri nampongeza coz sina tabia za kichawi.
Sina uhakika wewe ni mshabiki wa konde boy kwa sababu comment zako nyingi zilikuwa zinamponda Harmonize alivyokuwa WCB, ulikuwa Ni moja Kati ya mtu uliyekuwa unamponda Sana ninachoona me kwako wewe ni hater wa Diamond by nature chochote kinachokuwa kinyume na diamond Ni furaha kwako
 
kijana narudia tena, mimi sio shabiki zezeta, namshabikia Konde Boi na akikosea namchana,
Konde Boi wa Aiyola alikua anamcopy Diamond kila kitu na nikawa namkosoa mno hata hapa jukwaani, na hata leo akikosea nitamkosoa coz nina mawazo huru.

Turudi kwako bwana innocent dependent shabiki lia-lia wa Diamond, Je Diamond akikosea uko huru kumkosoa kwa uwazi hapa JF ?
Konde Boy au Ali Kiba akifanya vizuri uko huru kumsifia hapa jukwaani???

asikudanganye mtu, kuwa na mawazo huru ni poa sana unakua flexible hadi raha yani 🤣 🤣
 
@DaudiMchambuzi kijana narudia tena, mimi sio shabiki zezeta, namshabikia Konde Boi na akikosea namchana,
Konde Boi wa Aiyola alakua anamcopy Diamond kila kitu na nikawa namkosoa mno hata hapa jukwaani, na hata leo akikosea nitamkosoa coz nina mawazo huru.

Turudi kwako bwana innocent dependent shabiki lia-lia wa Diamond, Je Diamond akikosea uko huru kumkosoa kwa uwazi hapa JF ?
Konde Boy au Ali Kiba akifanya vizuri uko huru kumsifia hapa jukwaani???

asikudanganye mtu kuwa na mawazo huru ni poa sana unakua flexible hadi raha yani 🤣 🤣
@daudiMchambuzi Me sio mshabiki wa diamond kimziki kwa asilimia 💯 anaweza akapata 50 au 60 percentage ila Ni mshabiki wake wa Mafanikio yake kwa asilimia 💯 nazani utakuwa umenisoma vizuri natamani wasanii wa bongo wawe hard work Kama huyu jamaa.Kuhusu Alikiba namkubali yule wa 2016 kurudi nyuma na Ni msanii ambaye nilikuwa namkubali Sana kuliko msanii yoyote wa hapa bongo pamoja nilikuwa namkubali lakini sijawahi kabisa kuvutiwa nje ya mziki wake ikiwemo namna anavyojibrand, hard work yake ya Kazi n.k Ila Alikiba wa sasa kapoa Sana si mziki wake Wala nje ya mziki afanyi hit song tena.Tukija kwa Harmonize, Harmonize sijawahi kumkumkubali tangu yupo WCB pia sijawahi kumchukia na nikwasababu alikuwa Hana self identification na uimbaji wake ujawahi kunivutia Hadi sasa.
 
Jide mlinganishe na mama yake zuchu lakini si zuchu
 
Jide ameonyesha kuipenda na kufurahia tweet ya shabiki mmoja asiyejua muziki.

Ni wazi 'like' aliyotoa Jide inaonyesha chuki aliyonayo kwa Zuchu ambae ni kama mtoto wa kumzaa kwake. Maoni ni mengi mtandaoni na watanzania wanasema Zuchu ndio kipenzi chao na kwenye uimbaji hana mpinzani kwa sasa, waliosema ni wananchi sio Zuchu sielewi wewe dada kwa nini Zuchu anakunyima usingizi

Nataka tu kumwambia Jide, kama watanzania wameamua kwa sauti moja kumpitisha Zuchu kuwa malkia mpya wa bongofleva.. Hauwezi kuzuia maana wakati wako umepita, muziki wa bongofleva kwa kina dada ni wa Zuchu kwa sasa.

Usitume wahuni kuchafua wenzio acha kazi ziongee mwisho wa siku dunia itasema nani ni zaidi, kutangulia kuimba sio kujua kuliko wote

View attachment 1466104
anaweza kuwa mwimbaji mzuri lakini bado huwezi mlinganisha na nandy au jay dee, lina, rubby, nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nimefungua kujua zuchu ni nani.. maana nilihisi labda msanii wa nje!!
 
Ukiona wengi wanamfananisha na kumpambanisha Zuchu na wasanii wakubwa basi jua she's more talented kiasi kwamba watu washaanza kumuogopa. Wakati nandy, na maua sama wanapanda kwenye charts hakuwepo mtu wa kuwapambanisha leo anatoka Zuchu limeibuka kundi la haters ambao kila siku ni kumponda na kumpambanisha na wasanii wakike waliotangulia "mara hana uwezo kushinda Nandy, Maua Sama na Mimi mars", "Oh, anabebwa na label", "Oh, muimba taarab", "Oh, pose zile zile", "Oh, she's not sexy".
Hizi ni ishara kuwa Zuchu ni nitishio kwao, pia wasichojua kuwa Zuchu alikuwa msanii aliyekamilika tangu akiwa anaingia Wasafi 4yrs ago, amekaa pale akisoma game na strategy za ku-win pia kuongeza maujuzi lakini angeweza kutoka enzi Nandy ni mbichi kwenye game.
Watu wanatakiwa kutulia kumpa nafasi Zuchu afanye kile akipendacho kama ilivyokuwa kwa wasanii wengini kumu-attack means ni tishio kwa mashabiki wa wasanii pambanishwa, na bado Zuchu ataendelea kuwanyima usingizi bado mapema mno kulalamika! 😁😁😁
Sasa kijana.. 4 yrs (tena anasoma game) unamfananisha na mtu wa 25 yrs kwenye game?
Kweli tafuta vitu vya kulinganisha.
 
Donnie Charlie,
That's why kwenye comment yangu hakuna sehemu nimemlinganisha ila kuponda wanaomlinganisha na wasanii waliotangulia. Zuchu atabaki kuwa Zuchu, and JD atabaki kuwa JD. Zuchu anakipaji na anapambana kama msanii kinda na mpya kwenye game kumweka kwenye league na msanii aliyeko more than 20yrs ni "UZWAZWA".
 
Ukiona wengi wanamfananisha na kumpambanisha Zuchu na wasanii wakubwa basi jua she's more talented kiasi kwamba watu washaanza kumuogopa. Wakati nandy, na maua sama wanapanda kwenye charts hakuwepo mtu wa kuwapambanisha leo anatoka Zuchu limeibuka kundi la haters ambao kila siku ni kumponda na kumpambanisha na wasanii wakike waliotangulia "mara hana uwezo kushinda Nandy, Maua Sama na Mimi mars", "Oh, anabebwa na label", "Oh, muimba taarab", "Oh, pose zile zile", "Oh, she's not sexy".
Hizi ni ishara kuwa Zuchu ni nitishio kwao, pia wasichojua kuwa Zuchu alikuwa msanii aliyekamilika tangu akiwa anaingia Wasafi 4yrs ago, amekaa pale akisoma game na strategy za ku-win pia kuongeza maujuzi lakini angeweza kutoka enzi Nandy ni mbichi kwenye game.
Watu wanatakiwa kutulia kumpa nafasi Zuchu afanye kile akipendacho kama ilivyokuwa kwa wasanii wengini kumu-attack means ni tishio kwa mashabiki wa wasanii pambanishwa, na bado Zuchu ataendelea kuwanyima usingizi bado mapema mno kulalamika! [emoji16][emoji16][emoji16]
Acha upumbavu wewe, Unawezaje kumfananisha Zuchu na Jay dee? Jide alivuma kipindi ambacho hakuna instagram, Twitter wala you tube. Jide ashafanya kila kitu kwenye muziki huu wa bongo fleva, Zuchu umfananishe na Jide? hizi dharau zimepitiliza sasa
 
Kwa nini asifananishwe labda? Hao uliowataja wamefanya nini ambacho Zuchu awezi kukifanya?

Ishu si wameimba tu tena wote hao wote hawana uwezo wa kuandika nyimbo zao wenyewe. Zuchu ni mwandishi wa nyimbo zake anaandika yeye mwenyewe.

Tatizo tumekalili kila aliyetangulia ni mkali kuliko atayekuja kesho.

Kutangulia sio kuwa mkali kuliko wote, kina Lady Jaydee tuwape heshima ya kutangulia kwenye game na kufungua milango ya kuimba kwa kina dada ila haimaanishi wao ndio wakali kuliko kila mmoja.
Hivi unajua Jide ana tuzo ngapi? Unajua ana album ngapi? Haya Zuchu ana nini cha kumfananisha na Jide? Nyie wavuta bangi eti...
 
kombaME,
Zwazwa kweli wewe kuna sehemu nimemfananisha Zuchu na JD au unawashwa?, soma comment uielewe sio kudandia juu juu tu. Nimejibu according to post tuliza mshono kama hujaielewa, mimi sio taahira kiasi hicho mpaka nimweke Zuchu na JD league moja!
 
Donnie Charlie,
That's why kwenye comment yangu hakuna sehemu nimemlinganisha ila kuponda wanaomlinganisha na wasanii waliotangulia. Zuchu atabaki kuwa Zuchu, and JD atabaki kuwa JD. Zuchu anakipaji na anapambana kama msanii kinda na mpya kwenye game kumweka kwenye league na msanii aliyeko more than 20yrs ni "UZWAZWA".
Nazungumzia uwiano na si kwa sasa, kwa hiyo unaweza sasa kusema floyd ni bora kuliko tyson?
 
Huu ndo Ukweli,.

Na cha kuongezea ni Kua Wasanii wa Wcb Hawana Mashabiki, wanashabikiwa na mashabiki wa Diamond
Mungu ampe maisha marefu Diamond kwa jinsi anavyopaisha mziki wa Tanzania. Siku akiwa hayupo ndio tutajua team WCB walikua mashabiki wa wasanii wote au mashabiki wa Diamond
 
Donnie Charlie,
Uwiano upi unaotaka kumweka Zuchu na JD?. Unaweza sema Zuchu akifanya hiki ama kile anaweza dumu au kupasua kama JD ila sio kumpambanisha ama kumlinganisha. That's why leo Mohamad Ali, Tyson or Mayweather watasemwa kwa ubora ila sio kwa kuwapambanisha. PERIOD!
 
Back
Top Bottom