We nyoko wewe, aaaaaah aaaaah nfyuuu umbea tu, kwanza umempikia msukuma? Maana najua binamu yangu wewe housegirl huna, we ndo house girl we ndio kila kitu.
Hapana chezeya, tatizo watu wanaongea hawajui historia ya jide, mi nawaangalia tu, jide jirani yake BAKHRESA na WAZUNGU kule masaki uzunguni, katulia zake hana shida na mtu, Inshort hawamuwezi, jide adumu miaka mia
Hahahaha lini kanunua Nyumba Masaki? Ina maana ashahama Kimara.
Heheee watu washayageuza nasie tunaporomoka tu,uko poa shoga nimeona picha za chagga nimechokaaaa sajeri mpaka mashavu
Hapana chezeya, tatizo watu wanaongea hawajui historia ya jide, mi nawaangalia tu, jide jirani yake BAKHRESA na WAZUNGU kule masaki uzunguni, katulia zake hana shida na mtu, Inshort hawamuwezi, jide adumu miaka mia
Nakwambiiiia! Shavu bandia, tako fake, rangi mkorogo.Chagga kama Wema tu! Uliona alivokalia dyudyu?:sly:😉
Hahahaha lini kanunua Nyumba Masaki? Ina maana ashahama Kimara.
Taratibu ee binamu yangu ana tatizo la kusahau nenda nae taratibu
Toka alivyoachana na mume wake jide aliamia masaki, ndipo anapoishi sasa ivi, mpaka kwake napajua
Huyu mgumba bwana
niambie mama wa kambo?uko poa....ushanyonyesha watoto wako?vipi na yule uliyemficha stoo sababu ya upate utajiri ?
Ndo matatizo ya kukamia haya mpwa... wapi niliposema Jide sio msanii wa kitaifa (bila shaka ulimaanisha kimataifa)! Mie nimesema hivi sasa Diamond ame-focus kwa wasanii wakubwa wa West Africa kwa kuwa West Africa ndiko kwenye biashara ya muziki! Au mpwa ulitaka kutukumbusha kwamba Jide alienda kwa Mandela? Hebu msome vizuri chige huyu hapa chini:Unaposema diamond hana mpango wa kufanya collabo na jide kwa kuwa eti jide sio msanii wa kitaifa unakosea , jide aliwahi kukomba tuzo ya channel O , pia kuna kipindi aliwahi kualikwa kwenye birthday ya mandela uko south africa, na kama hujui tu jide ndio msanii mwenye tuzo nyingi kuliko msanii yeyote, alianza kuchukua tuzo Toka mwaka 2002 mpaka mwaka jana bado anaendelea kuchukua tuzo.
Ah, wapi! Kisa Jide kasema yupo Team Kiba? Huyo Mond mwenyewe sidhani kama ana mpango wa kufanya kazi na Jide manake mawazo yake yooooooooote, yame-focus wasanii wakubwa wa West Afrika kwa sababu anafahamu West Afrika ndiko kwenye biashara ya muziki kwa Afrika hii!!! Jide awe Team Kiba, Team Davido au Team yoyote ile, haina effect kwa Diamond hata kidogo!!! Kwanza kwa hili atakayeneemeka sio Ali Kiba bali Jide mwenyewe... in short, anataka kumtumia Ali Kiba kwa kuwa anafahamu Kiba ana mashabiki wa kutosha, sema tu sumu yao ukiwarushia buku 2 mbili!!! Sema hapa nimemchokoza Jide, mpwa warumi lazima anitoe macho!
We warumi wewe, mi nakuambia sasa hivi, leo nipo kwenye Sabato kwahiyo sitaki ugomvi!
Watu mna visa, aaaaaaaaaargh!Kina don jazzy, psquare, Mafikizolo, Fally Ipupa na wengine wakali hapa Africa wote team Mond!!
Nini Jide buaaaana!!
Hamna kitu hapo, warumi alitaka tu kukumbushia kwamba Jide alialikwa kwa Mandela coz' hamna popote niliposema Jide sio msanii wa "kitaifa" manake huyu mpwa najua amevurugwa sana hii wiki na ndio maana hata alipotaka kusema wa kimataifa kaishia kusema wa kitaifa!!warumi katika ubora wake.Sio umbea tu hata rekodi ziko sawa upstairs.Nakupendaje sasa?
Hao wazungu wenyewe siku hizi wezi tu, hivi uliwaona wale wawili wa juzi?!Hapana chezeya, tatizo watu wanaongea hawajui historia ya jide, mi nawaangalia tu, jide jirani yake BAKHRESA na WAZUNGU kule masaki uzunguni, katulia zake hana shida na mtu, Inshort hawamuwezi, jide adumu miaka mia
Yupo masaki kwa nani mbona kila siku tunapishana naye alfajiri huku kimara?Walivyoachana na mume wake akahama nyumba, yupo masaki sasa ivi
Yupo masaki kwa nani mbona kila siku tunapishana naye alfajiri huku kimara?