Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba

Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba

We nyoko wewe, aaaaaah aaaaah nfyuuu umbea tu, kwanza umempikia msukuma? Maana najua binamu yangu wewe housegirl huna, we ndo house girl we ndio kila kitu.

Binam unajua mi ukifa ghafla lazima nimshitaki Daimond ,sasa hiv hata kula huli umekondeana hebu ukuje mwaz ukule samaki upate afya achana na mahindi ya kuchoma na ndimu
Msukuma hayupo no kupika wala kufuaaa
 
Hapana chezeya, tatizo watu wanaongea hawajui historia ya jide, mi nawaangalia tu, jide jirani yake BAKHRESA na WAZUNGU kule masaki uzunguni, katulia zake hana shida na mtu, Inshort hawamuwezi, jide adumu miaka mia

Hahahaha lini kanunua Nyumba Masaki? Ina maana ashahama Kimara.
 
Heheee watu washayageuza nasie tunaporomoka tu,uko poa shoga nimeona picha za chagga nimechokaaaa sajeri mpaka mashavu

Nakwambiiiia! Shavu bandia, tako fake, rangi mkorogo.Chagga kama Wema tu! Uliona alivokalia dyudyu?:sly:😉
 
Hapana chezeya, tatizo watu wanaongea hawajui historia ya jide, mi nawaangalia tu, jide jirani yake BAKHRESA na WAZUNGU kule masaki uzunguni, katulia zake hana shida na mtu, Inshort hawamuwezi, jide adumu miaka mia

Hahahaaa, leo mbona watakukoma?
 
Nakwambiiiia! Shavu bandia, tako fake, rangi mkorogo.Chagga kama Wema tu! Uliona alivokalia dyudyu?:sly:😉

Uwiiiiii jamani sijui nirudi insta? Napitwaje na habari motomoto?
 
Unaposema diamond hana mpango wa kufanya collabo na jide kwa kuwa eti jide sio msanii wa kitaifa unakosea , jide aliwahi kukomba tuzo ya channel O , pia kuna kipindi aliwahi kualikwa kwenye birthday ya mandela uko south africa, na kama hujui tu jide ndio msanii mwenye tuzo nyingi kuliko msanii yeyote, alianza kuchukua tuzo Toka mwaka 2002 mpaka mwaka jana bado anaendelea kuchukua tuzo.
Ndo matatizo ya kukamia haya mpwa... wapi niliposema Jide sio msanii wa kitaifa (bila shaka ulimaanisha kimataifa)! Mie nimesema hivi sasa Diamond ame-focus kwa wasanii wakubwa wa West Africa kwa kuwa West Africa ndiko kwenye biashara ya muziki! Au mpwa ulitaka kutukumbusha kwamba Jide alienda kwa Mandela? Hebu msome vizuri chige huyu hapa chini:
Ah, wapi! Kisa Jide kasema yupo Team Kiba? Huyo Mond mwenyewe sidhani kama ana mpango wa kufanya kazi na Jide manake mawazo yake yooooooooote, yame-focus wasanii wakubwa wa West Afrika kwa sababu anafahamu West Afrika ndiko kwenye biashara ya muziki kwa Afrika hii!!! Jide awe Team Kiba, Team Davido au Team yoyote ile, haina effect kwa Diamond hata kidogo!!! Kwanza kwa hili atakayeneemeka sio Ali Kiba bali Jide mwenyewe... in short, anataka kumtumia Ali Kiba kwa kuwa anafahamu Kiba ana mashabiki wa kutosha, sema tu sumu yao ukiwarushia buku 2 mbili!!! Sema hapa nimemchokoza Jide, mpwa warumi lazima anitoe macho!

We warumi wewe, mi nakuambia sasa hivi, leo nipo kwenye Sabato kwahiyo sitaki ugomvi!
 
Last edited by a moderator:
warumi katika ubora wake.Sio umbea tu hata rekodi ziko sawa upstairs.Nakupendaje sasa?
Hamna kitu hapo, warumi alitaka tu kukumbushia kwamba Jide alialikwa kwa Mandela coz' hamna popote niliposema Jide sio msanii wa "kitaifa" manake huyu mpwa najua amevurugwa sana hii wiki na ndio maana hata alipotaka kusema wa kimataifa kaishia kusema wa kitaifa!!
 
Last edited by a moderator:
Hapana chezeya, tatizo watu wanaongea hawajui historia ya jide, mi nawaangalia tu, jide jirani yake BAKHRESA na WAZUNGU kule masaki uzunguni, katulia zake hana shida na mtu, Inshort hawamuwezi, jide adumu miaka mia
Hao wazungu wenyewe siku hizi wezi tu, hivi uliwaona wale wawili wa juzi?!
 
Safi jide kuna watu wanafikiri ukitamka uko timu fulani basi ni shreedah! Jamani jide si mpenzi wa twaarab na amesema wazi kiba hana mashauzi kama wengineeee
 
Back
Top Bottom