Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajiona kafika na ana kila kitu, ila ni lazima akumbuke aliyemsaidia, hata kama sio kifedha gadner ana mchango mkubwa sana, hayo mengine ni ubinadamu tu
Jana sijalala, nilikuwa maeneo napiga umbea
sasa hivi ndo kawa malaya?alipomtega hadi akaacha mke na mtoto?Jide pia malaya alimtega Captain.Wote malaya tuKwaiyo amvumulie eti kisa amemfanyaa afanye vizuri kimziki..kama mwanaume malaya ni bora kujitoa hayo mengine maisha yake binafsi.
ofcourse,ana kiburi sana,sidhani kama atahit kama mwanzo
poa hata hayo yako tuHayo maon yako2
ofcourse,ana kiburi sana,sidhani kama atahit kama mwanzo
Jide kusikika ni kwa ajili ya Gadena,ndo maana hata clouds walipomtosa bado alisikika,now tuone kama atahit labda hiyo redio yake iliyokuwa inapewa promo na akajipe promo mwenyewe
kwani hujasikia tetesi humu humu kuwa ndo anatua huko?asingetua kama ya jideradio yake ipi mkuu? walikuwa wanasema EFM ya Jide but I think ni uzush tu,kama ingekuwa ni ya Jide no way Gardner kutua pale kwa khari waliyonayo sasa...
ofcourse,ana kiburi sana,sidhani kama atahit kama mwanzo
ndo mziki wa bongo unavyoenda,mwanzoni walisema E. FM ni yake,kama uzushi asahau kuhit maana clouds aliwazingua,times ndo huyo mmewe alikuwa anampaisha,no kuna thread humu kwamba gadena anaenda E.FM means may be si ya mkewe,sasa unategemea nini na mwenyewe mpenda majunguumeona eeeh ni mgumu sana kusamehe
Biologically wanaume ni dhaifu sana,Lady jaydee alihakikisha anampata Gardener,kwa hali ile ilikuwa ngumu kuchomoa,hakukuwa na mapenzi pale,yangekuwepo basi wasingeachana.Amtege kwani ye mtoto mdogo? Miaka yote tisa waliyokaa y ndoa unadhan mchezo, wote walipendana
Kavumilia umalaya wa mume umemkinaiiii
Makubwaaa ni wewe warumi au kuna mtu katumia id yako