Lady jaydee afunguka kuhusu Band yake na mgahawa

Lady jaydee afunguka kuhusu Band yake na mgahawa

Anajiona kafika na ana kila kitu, ila ni lazima akumbuke aliyemsaidia, hata kama sio kifedha gadner ana mchango mkubwa sana, hayo mengine ni ubinadamu tu

Sijui kwa nini lakini naona leo una busara sana
 
mkiwa wapenzi halafu mnakuja kuwa maadui yaani huwa ni worse zaidi,wimbo wa forever kwa hiyo hii ndo forever harudi tena kwa Captain,hivi kasahau kama alimtoa mwanamke mwenzake hapo kwa Captain.Captain hana shida kwanza binti yake sasa yupo university,Jide angejiondokea kwa amani tu,vinyongo vya nini kwa mtu uliekuwa unajifunika nae shuka moja,kwanza yeye ndo anamakosa alimseduise mwenzake hadi akamuacha mke wake wa ndoa,alifikiri Captain Umalaya ataacha?
 
Kwaiyo amvumulie eti kisa amemfanyaa afanye vizuri kimziki..kama mwanaume malaya ni bora kujitoa hayo mengine maisha yake binafsi.
sasa hivi ndo kawa malaya?alipomtega hadi akaacha mke na mtoto?Jide pia malaya alimtega Captain.Wote malaya tu
 
sasa hivi ndo kawa malaya?alipomtega hadi akaacha mke na mtoto?Jide pia malaya alimtega Captain.Wote malaya tu

Amtege kwani ye mtoto mdogo? Miaka yote tisa waliyokaa y ndoa unadhan mchezo, wote walipendana
 
Jide kusikika ni kwa ajili ya Gadena,ndo maana hata clouds walipomtosa bado alisikika,now tuone kama atahit labda hiyo redio yake iliyokuwa inapewa promo na akajipe promo mwenyewe

radio yake ipi mkuu? walikuwa wanasema EFM ya Jide but I think ni uzush tu,kama ingekuwa ni ya Jide no way Gardner kutua pale kwa khari waliyonayo sasa...
 
radio yake ipi mkuu? walikuwa wanasema EFM ya Jide but I think ni uzush tu,kama ingekuwa ni ya Jide no way Gardner kutua pale kwa khari waliyonayo sasa...
kwani hujasikia tetesi humu humu kuwa ndo anatua huko?asingetua kama ya jide
 
umeona eeeh ni mgumu sana kusamehe
ndo mziki wa bongo unavyoenda,mwanzoni walisema E. FM ni yake,kama uzushi asahau kuhit maana clouds aliwazingua,times ndo huyo mmewe alikuwa anampaisha,no kuna thread humu kwamba gadena anaenda E.FM means may be si ya mkewe,sasa unategemea nini na mwenyewe mpenda majungu
 
Amtege kwani ye mtoto mdogo? Miaka yote tisa waliyokaa y ndoa unadhan mchezo, wote walipendana
Biologically wanaume ni dhaifu sana,Lady jaydee alihakikisha anampata Gardener,kwa hali ile ilikuwa ngumu kuchomoa,hakukuwa na mapenzi pale,yangekuwepo basi wasingeachana.
 
Back
Top Bottom