Lady Jaydee ahamia hotelini

Lady Jaydee ahamia hotelini

Poa poa mkuu, shukrani maana duh safari hii nimepata BAN takatifu kweli

Ukifuata ushauri niliokupa ban utaisahau kabisa, ni lazima ujuwe hapa kuna wengine stress zao za maisha JF ndio sehemu ya kuleta stress zao.
 
Ukifuata ushauri niliokupa ban utaisahau kabisa, ni lazima ujuwe hapa kuna wengine stress zao za maisha JF ndio sehemu ya kuleta stress zao.

Vizuri Sana umebadilika hata maneno ya shombo umepunguza
 
Yaani ananipa raha ambavyo yeye na G hawahangaiki na umbea. Sio wale kina nani sijui, unampa mkeo talaka unatoa press release. Like who really cares?

Jide yuko juu bwana. Acha waseme!
Jide ni Bosslady maana hata hotel siyo zile za Sinza kajificha ushuwani kimya.
 
Yaani ananipa raha ambavyo yeye na G hawahangaiki na umbea. Sio wale kina nani sijui, unampa mkeo talaka unatoa press release. Like who really cares?

Jide yuko juu bwana. Acha waseme!
G na J wameonesha utu uzima dawa naamini watamaliza tofauti zao, kwenye mahusiano kupeana distance huwa ni solution pia na mambo ujiseti yenyewe. nawambea heri wayamalize mapema.
 
NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva , Judith
Wambura Mbibo ‘ Jide ’ ambaye hivi karibuni
ndoa yake iliripotiwa kuwa katika
sintofahamu na kuvunjika , anadaiwa kuhamia
katika hoteli moja yenye hadhi ya nyota tatu
iliyopo Oysterbay jijini Dar .
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Jide amekuwa
akionekana akiingia na kutoka kwenye hoteli
hiyo huku nyumba yake iliyopo Kimara -
Temboni , Dar ikiwa haina mkazi wa kudumu .
Wiki iliyopita , kulienea taarifa katika
mitandao ya kijamii ikieleza kuvunjika kwa
ndoa ya Jide na mume wake, Gardner Gabriel
Fikirini Habash . Wawili hao walifunga ndoa
mwaka 2005 .
Taarifa zikadai kwamba Gardner naye
aliondoka nyumbani hapo na kwamba hivi
sasa anaishi kwa mmoja wa ndugu zake.
Hata hivyo
Ijumaa iliyopita Tulizungumza na Gardner
ambaye pia ni meneja wa msanii huyo, lakini
alikanusha vikali uvumi huo akisema si kweli .
Kufuatia madai hayo, mapaparazi wetu
walikwenda hadi nyumbani kwa nyota hao
ambapo hakukuonekana dalili za kuwepo kwa
mtu ndani .
Baadhi ya majirani walioulizwa, walisema
mara ya mwisho walimuona Gardner miezi
miwili iliyopita akiwa na basi la Bendi ya
Machozi lakini hawaelewi kwa sasa wanaishi
wapi na wakoje katika ndoa yao!
Juzi , mapaparazi wetu walipiga kambi
hotelini hapo ambapo mfanyakazi mmoja wa
hoteli hiyo alisema , Jide anaishi hotelini hapo
na kwamba kutokana na kuwa mteja wa
muda mrefu, hata kadi ya kufungulia mlango
wa chumba chake anaondoka nayo .
Mmoja wa wasaidizi wa karibu wa Jide ( jina
tunalo) alithibitisha msanii huyo kuishi
hotelini hapo ingawa alikataa kuzungumza
lolote kuhusu ndoa hiyo , kwa kile alichodai
kuwa haieleweki .“Ni kweli Anaconda ( Jide )
anaishi pale , wewe nenda tu mapokezi
kaulize utaelezwa kama hivi sasa yupo au
hayupo, ” alisema mtu huyo.
Juhudi za kutafuta ukweli wa sakata la nyota
hao zinaendelea huku ikielezwa kuwa ,
Gardner ndiye anayetakiwa kutoa tamko
kwani ndiye anayepatika kirahisi katika simu
yake ya mkononi .

Naona JF celeb umerudi
 
Yuko rehab under Lara1
Mziki unaoubeep hauuwezi, wellcome na welcome ni makosa ya kawaida kwenye prediction keypard, nashangaa Lara 1 anakujaje hapa? punguza kujipendekeza kwa wanaume idadi ya mabasha imeongezeka.
 
Ni bora ya mimi standard seven graduate kuliko wewe msomi ambaye unachunguza maisha ya Joe Makini kuishi chumba kimoja sasa tukisema alikuwa anakupiga boro sijui tutakuwa tunakosea?

Hahaaaaaa
Naipenda JF
 
Yaani ananipa raha ambavyo yeye na G hawahangaiki na umbea. Sio wale kina nani sijui, unampa mkeo talaka unatoa press release. Like who really cares?

Jide yuko juu bwana. Acha waseme!

Watu wanasema eti hata gadner alipoenda polisi jide hakwenda kumuona wakat G alisema jide alienda usiku sana kwa kuwa alikuwa anaogopa waandishi wa habari, na walikuwa wanaenda wote ila jide anapaki mbali kidogo na kituo cha polis kuogopa waandishi
 
Haijarishi alikwenda au hakwenda hayo ni yao, Wanaume kibao wanapelekwa Polisi na wanawake lakini wanapatana na maisha yanaendelea.
 
Nimerudi binamu, yani niliwamisi kiama, hadi natetemeka apa maana nina maubuyu ya haja kiama, im back na wale ambao ujio wangu umewachefua ndimu zinawahusu, hihihii....

Ushaanza matusi mods piga ban huyu
 
Haijarishi alikwenda au hakwenda hayo ni yao, Wanaume kibao wanapelekwa Polisi na wanawake lakini wanapatana na maisha yanaendelea.

Da huu mfano nimeupenda sana, ni kweli baadhi ya wanawake uwapeleka polisi waume zao ila badae huenda kuwatoa wenyewe na vilio juu tena wanaomba msamaha wenyewe
 
Back
Top Bottom