Lady Jaydee akiwa na mpenzi wake mpya, wamependeza au la?

Maisha ni kupanga. Mwacheni ale starehe, kateseka mno.
 
acheni abadilishe dushe aonje radha jamani...hata mi nikipata papuchi mpya nafarijika....ulioizoea mda mwingne ni kero...
 


Naona Anarudi Kwa Ujana Kwa Kasi ya Ajabu sasa Sijui alikuwa wapi kuyafanya Haya Na Mumewe kipindi kile..

Vipi hapo Unaonaje.. Yupo sawa Au Kaboa
miaka 40 unasema anarudi ujana? angekua amezaa sasa hivi angekua na wajukuu huyo.
 
Toka lini msukuma akawa Romantic mkuu., muache now binti machozi ajiachie, kakutana na watu romanticheskii.
Ni Musoma moja huyo siyo msukuma mkuu. Makao ndiyo Shinyanga asili mara
(WAMBURA)
 
Hivi huyo rasta jah farah ataweza kweli kumkojoza huyo dada?? Mana amesha zoweya kukojozwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…