Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Utamu wako ni zaidi ya bublishnimekuwa bublish?
kwenda huko kamtafute dada yakoUtamu wako ni zaidi ya bublish
sura imekuwa na nuru kwakweli habash mmmh
Naona Anarudi Kwa Ujana Kwa Kasi ya Ajabu sasa Sijui alikuwa wapi kuyafanya Haya Na Mumewe kipindi kile..
Vipi hapo Unaonaje.. Yupo sawa Au Kaboa
izo nido tu ka za u20sura imekuwa na nuru kwakweli habash mmmh
Kwani kazeeka huyo binti mbichi kabisa na hawa utawaweka wapi punguza ushamba
sijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
andika kiswahiliizo nido tu ka za u20
Wat happened dearsijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
Usiseme hivyo we are not the samesijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] unamaanisha ulishatendwa??sijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
Anamringishia wakati bibi mwenyewe kauzu wala stimu haijampandaKwani kazeeka huyo binti mbichi kabisa na hawa utawaweka wapi punguza ushamba
Wewe unalalaje nao?sijui kama nitaweza kuja kulala na mwanaume tena hivo ! ni ujinga tu unamsumbua
Halafu wewe..........si hadi umpate wa kumlalia.... ila endelea kutafuta kama jina linavyosadifu... LOL
we jamaa aisee!!!Kuna makabila hayataki mizaha......unapigwa miti na huitwi bebi