Lady Jaydee akiwa na mpenzi wake mpya, wamependeza au la?

Lady Jaydee akiwa na mpenzi wake mpya, wamependeza au la?

hahaha! huyu bibi noma!! yaani mzee antumia nguvu kubwa kumchanganya bibi ila wapi, bibi katulia tuliii!
Haujui wanawake wengine stimu yao kupanda hadi afosiwe, apigwe au kubakwa ndiyo utaona kalainika? Kuna aina nyingi sana za kupandishana midadi kuliko unazozifahamu wewe.
 
kwenda huko kamtafute dada yako
Come down bnt. Mtu atamtafutaje dada'ke? Baiolojia inaruhusu hilo?
Watu wengine kujenga maneno ya kumuanza mwanamke ni janga la kitaifa.
Kwahiyo kuna aina nyingi za kuanza kumtokea mwanamke. Kuna kujipitishapitisha kwako bila mtu kusema chochote, kuna kuhonga bila kufafanua dhamira, kuna kujenga vitisho na fitina ili kufanikisha lengo. Hayo ni kwauchache.
Nimekuambia hakuna pingamizi kubwa sana kwa mwanaume hapa duniani kama suala la kutia gia namba1 kwa mwanamke, wengi linawasumbua.
Ndiyo maana wenye pesa zao hutumia makuwadi.
Kwa hiyo mtu anapokutokea kwa "staili" yoyote, msikilize kwa upole. Baadae utamsoma lengo lake halisi na hapo ndiyo utaamua, mtongozaji hafokewi, bali hupewa nafasi ya kujieleza na kusikilizwa. Sawa bnt?
 
ila huyo mnigeria asije kumtapeli huyo mdada atsee af akaja kutoa machozi part 2
 
Back
Top Bottom