Lady Jaydee alivyofunika......

Lady Jaydee alivyofunika......

Aibu yao Clouds media poleni sana kutumiwa na mabosi wenu
 
hadi huruma kuna watangazaji wengine wa Redio ya wafu yaani walikuwa wanaipromote hiyo show ya Mwana Fatuma,ila hawakuwa na jinsi kwa sababu boss kasema,mioyoni mwao naamini kabisa walikuwa na Anakonda
 
sikiliza wimbo wake wa naenda mbele wala sirudi nyuma.Nimejaribu kuutafuta hapa nimeukosa....
 
Hapa ni parking ya Nyumbani Lounge....Pamechangamka

12.jpg



Hapa ni auditorium ya Makumbusho.....Pamepooza
1006135_471077726307638_1009833151_n.jpg
 
1006135_471077726307638_1009833151_n.jpg

Fa10.JPG






Fa11.JPG



Source : clouds FM :heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh: aibu yahooooooooooooooooooooo:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:

Nakala kwa Nyani Ngabi, TANMO Ruge :A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112:


Hapi komando Jide kawabeep:A S-rap::A S-rap::A S-rap::A S-rap::A S-rap:
 
Yule binti ana kipaji hakuna anayeweza kumzuia,hawa wanajaribu tu..............
 
Watu wenye akili za Nyani Ngabu tu ndio wanaweza kufanya aliyofanya Ru Gay,na Bi Fatu!
kwendeni zenu huko!
 
Iseee St. Paka Mweusi lete compelete vedio umetunyima uhondo

Kweli hili ni Jotohasira

CC Nyani Ngabu TANMO


Kaka niko Amsterdam hapa ila nakutafutia wimbo mmoja na siupati,labda atakayenisoma anaweza kunisaidia.Anasema naenda mbele wala sirudi nyuma msimamo wangu mimi nimesimama vitu vyote nyinyi mnavyofanya fanyeni mfanyavyo mimi nasonga mbele......
 
Ukitaka kujua uwezo wa Lady JD sikiliza hapa wakati anapokea kutoka kwa Matonya,usisikilize ile anavyosema unajua nilikupenda, ila sikiliza wakati anavyomuitikia....

 
Last edited by a moderator:
Inapendeza kama jamii imetambua kwamba jide anaweza na kuamua kumpa shavu. kwel imekaa vzuri na nimtakie mafanikio zaid na zaid
 
Back
Top Bottom