Lady Jaydee alivyofunika......

Lady Jaydee alivyofunika......

njaa mbaya mwana FA kwa sababu ya njaa zake na kudanganywa na RUGE MZEE WA RADIO YA WAFU KAZALILIKA
 
Duh! Sijui watu wameilwakatare hii picha au ni kweli? Mbona kama Mkutano wa wajumbe wa baraza la Katiba Mpya,Siyo Jaji Warioba kweli yule kule aliyekaa mbele? Kwi kwi kwiiiiiii!!


Mwana FA.jpg
 
Huyu mdada ninoooooooooooma mazee tupa kule mwna fatuma na mawingu yake
 
my dear jana was around, ilikuwa ni balaa.

Anhaaa! Sasa kama ilikuwa balaa kumbe madai yake kwamba anazibiwa riziki si ya kweli, siyo?

mbaya zaid anasema eti hapatani na wanamuziki wenzie lkn huwez kuamini wanamuzik wenzie walikuwepo tna kwa fujo zote.

Nani anasema hivyo?

myself huwa najiambiaga hivi hakuna kitu kibaya kama kumchafua mtu,

Jide kumwita MwanaFa MwanaFAtuma haikuwa kumchafua eeh?

halafu ukawaunamuombea mabaya mwisho wa siku utashuhudia ushindi wa hasimu wako.

Nani kamwombea mabaya mwenzake?

maisha sio vita useme nibebe silaha gani maisha ni akili hasa ya kujituma basi.

Naam, maisha ni vita pamoja na akili. Akili ya kuanzisha bifu ili u-generate interest ya show yako. Pasi na bifu unadhani watu wangeitikia kama walivyoitikia? Bila bifu unadhania hiyo show ingepata publicity iliyoipata? Na ukumbuke proceeds zote za hiyo show zinaenda kwenye akaunti ya huyo binti. Au aligawana nanyi nyie mliohudhuria?

jide anajituma sana na yuko innivative mbaya mno. nilifurah sana jana manake shoo ilibamba ile mbaya.

Yawezekana ni kweli anajitum na ni mbunifu kama alivyobuni bifu ili aweze kupata watu wengi waliolipa kiingilio kuona show yake.
 
Dude ur sick u need med help its unhealth to hate sm1 u hav never even met
Anhaaa! Sasa kama ilikuwa balaa kumbe madai yake kwamba anazibiwa riziki si ya kweli, siyo?



Nani anasema hivyo?



Jide kumwita MwanaFa MwanaFAtuma haikuwa kumchafua eeh?



Nani kamwombea mabaya mwenzake?



Naam, maisha ni vita pamoja na akili. Akili ya kuanzisha bifu ili u-generate interest ya show yako. Pasi na bifu unadhani watu wangeitikia kama walivyoitikia? Bila bifu unadhania hiyo show ingepata publicity iliyoipata? Na ukumbuke proceeds zote za hiyo show zinaenda kwenye akaunti ya huyo binti. Au aligawana nanyi nyie mliohudhuria?



Yawezekana ni kweli anajitum na ni mbunifu kama alivyobuni bifu ili aweze kupata watu wengi waliolipa kiingilio kuona show yake.
 
Yule binti ana kipaji hakuna anayeweza kumzuia,hawa wanajaribu tu..............

Ni nani anayemzuia kwani? Na kama yupo anayemzuia, anamzuia kivipi? Mbona hii show hakuzuiwa kufanya? Na wiki jana mbona alikuwa huko Shinyanga kwenye show na hakuna aliyemzuia kufanya hiyo show yake?

Na unadai wanajaribu kumzuia, yeye hajaribu kuwazuia?
 
Watu wenye akili za Nyani Ngabu tu ndio wanaweza kufanya aliyofanya Ru Gay,na Bi Fatu!
kwendeni zenu huko!

Kufanya nini? Na kwani jana ni Jide tu ndiyo aliyestahili kufanya show peke yake duniani kote?

Na hayo matusi yenu dhidi ya Clouds, Ruge, na MwanaFA ndiyo mnaona ustaarabu eeh? Mkirudishiwa mnaona mnaonewa. Mnashangaza sana.
 
Do you love Clouds? Do you love Ruge? Do you love MwanaFA? Do you love me?

dude!! do you wanna tell us we hate you all??
so far go and tell mwanaFAtuma to act like a man, no need of battling with a lady uhh!
do you see what happend to him y'day??
 
Yupo merekani Anaongea kingredha cha kimerekani anamchana jide

Ha!ha!ha! nimecheka kwa nguvu mpaka mwanangu kanishangaa,nikikumbuka majigambo yao kabla ya Show hii,na jinsi walivyopiga kimya sasa hivi kama hawapo vile.Honestly jana tuli enjoy sana.
 
Hahahahaa yaani hujajibu hata hoja moja!

Usinionee huruma (ya uongo) mimi. Mimi niko poa kabisa sina shida yoyote katika lolote lile. Ningefurahi sana kama ungejibu tu hoja zangu, tafadhali.

Usipoweza kujibu basi nitahitimisha ulikuwa unaandika kiushabiki tu na kama hivyo ndivyo basi wala sitakuwa na shida na wewe.

and this is what i wanted from you.
hahahahhha am bright at pre emptying others minds lol!
relax hili jotoooo hasiraaaaaaaaaaaaa!
 
and this is what i wanted from you.
hahahahhha am bright at pre emptying others minds lol!
relax hili jotoooo hasiraaaaaaaaaaaaa!

Huna hoja za kujibu hoja zangu ndo maana hujazijibu. Kama unazo jibu.

And don't flatter yourself woman. You are not that bright at "preempting" others' minds (whatever you mean by that).

Hivyo, kama unaweza acha kujichekesha na jibu hoja. Kama huna sema huna, basi. Lakini siyo kujipa sifa ambazo unadhani unazo wakati huna.
 
Back
Top Bottom