my dear jana was around, ilikuwa ni balaa.
mbaya zaid anasema eti hapatani na wanamuziki wenzie lkn huwez kuamini wanamuzik wenzie walikuwepo tna kwa fujo zote.
myself huwa najiambiaga hivi hakuna kitu kibaya kama kumchafua mtu, halafu ukawaunamuombea mabaya mwisho wa siku utashuhudia ushindi wa hasimu wako. maisha sio vita useme nibebe silaha gani maisha ni akili hasa ya kujituma basi. jide anajituma sana na yuko innivative mbaya mno. nilifurah sana jana manake shoo ilibamba ile mbaya.
achana nae mliberali yule.....Yupo merekani Anaongea kingredha cha kimerekani anamchana jide
hahhah! wewe bana............Ole wako ningekuona!!
Narudia tena, ole wako ningekuona.....!hahhah! wewe bana............
mwenzio nilishajinunulia complementary toka ile shoo ya kwanza.
Narudia tena, ole wako ningekuona.....!
Utanikuta nimeshalewa.........!kuniona tu basi kama wataka kuniona njoo leo tupo hapa jion nikitoka job naja huko.
tangia awali sikuwa nimefuatilia vizuri haya mambo lakini huyu alivyopanga tarehe ya kwanza na FA akapanga tarehe hiyohiyo, baada ya msiba wa Mangweya akaahirisha naye akaahirisha. Na alivyopanga tarehe ya jana naye kapanga hiyo hiyo tena!!!!????Mwanaume mzima na tena msomi unakwenda kushindana na mwanamke. Ona sasa alivyokuaibisha. MwanaFAtuma umejiaibisha Fatu.
Source : clouds FM :heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh: aibu yahooooooooooooooooooooo:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:
Nakala kwa Nyani Ngabi, TANMO Ruge :A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112:
Hapi komando Jide kawabeep:A S-rap::A S-rap::A S-rap::A S-rap::A S-rap:
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.
Mwana FA akiwa lecture room makumbusho jana usiku akielezea kuhusu rasimu ya katiba.