achana nae huwa hajui kusoma alama za nyakatiSomo limeeleweka sasa, eti zzK alikwenda au?
my dear jana was around, ilikuwa ni balaa.
mbaya zaid anasema eti hapatani na wanamuziki wenzie lkn huwez kuamini wanamuzik wenzie walikuwepo tna kwa fujo zote.
myself huwa najiambiaga hivi hakuna kitu kibaya kama kumchafua mtu,
halafu ukawaunamuombea mabaya mwisho wa siku utashuhudia ushindi wa hasimu wako.
maisha sio vita useme nibebe silaha gani maisha ni akili hasa ya kujituma basi.
jide anajituma sana na yuko innivative mbaya mno. nilifurah sana jana manake shoo ilibamba ile mbaya.
Anhaaa! Sasa kama ilikuwa balaa kumbe madai yake kwamba anazibiwa riziki si ya kweli, siyo?
Nani anasema hivyo?
Jide kumwita MwanaFa MwanaFAtuma haikuwa kumchafua eeh?
Nani kamwombea mabaya mwenzake?
Naam, maisha ni vita pamoja na akili. Akili ya kuanzisha bifu ili u-generate interest ya show yako. Pasi na bifu unadhani watu wangeitikia kama walivyoitikia? Bila bifu unadhania hiyo show ingepata publicity iliyoipata? Na ukumbuke proceeds zote za hiyo show zinaenda kwenye akaunti ya huyo binti. Au aligawana nanyi nyie mliohudhuria?
Yawezekana ni kweli anajitum na ni mbunifu kama alivyobuni bifu ili aweze kupata watu wengi waliolipa kiingilio kuona show yake.
Yule binti ana kipaji hakuna anayeweza kumzuia,hawa wanajaribu tu..............
Dude ur sick u need med help its unhealth to hate sm1 u hav never even met
Watu wenye akili za Nyani Ngabu tu ndio wanaweza kufanya aliyofanya Ru Gay,na Bi Fatu!
kwendeni zenu huko!
Who is hating who?
Sijui yuko wapi @bwan'chuchu
U hating jide u gotta admit she is damn good in her thing was there last nite n she was hell as fire
Do you love Clouds? Do you love Ruge? Do you love MwanaFA? Do you love me?
Do you love Clouds? Do you love Ruge? Do you love MwanaFA? Do you love me?
Yupo merekani Anaongea kingredha cha kimerekani anamchana jide
I neither love nor hate the mentioned ones
Hahahahaa yaani hujajibu hata hoja moja!
Usinionee huruma (ya uongo) mimi. Mimi niko poa kabisa sina shida yoyote katika lolote lile. Ningefurahi sana kama ungejibu tu hoja zangu, tafadhali.
Usipoweza kujibu basi nitahitimisha ulikuwa unaandika kiushabiki tu na kama hivyo ndivyo basi wala sitakuwa na shida na wewe.
and this is what i wanted from you.
hahahahhha am bright at pre emptying others minds lol!
relax hili jotoooo hasiraaaaaaaaaaaaa!