Lady Jaydee alivyofunika......

Hawa wakandamizaji wa haki za wasanii hawakuwezi dada komaa kivyako na utatoka kivyako wewe ni mwanamke wa shoka.
 
somo limeeleweka sasa, eti zzk alikwenda au?

zzk munafiki mkubwa na anajiona kuanza kuwa karibu na wasanii ili ikifika 2020 wawe kwenye campgain zake. Jamaa anajiona mjanja sana kumbe walaaa. Jide ni mshikaji wake inakuaje unaenda kwenye show ya mwana fa.... Aibu yako zzk nilikuona wa maana kumbe mshambaa kabisa. Ogopa sana watu wanafikiii anapuliza huku na huku
 
do you love clouds? Do you love ruge? Do you love mwanafa? Do you love me?
duuuuuuuuuuuuu jf raha sana.ukiwa lonely njoo jf utapata raha na ni kama una mtu unayeongea nae!i love it!
 
yes sir!you are telling the truth! Keep on telling them what humanity is !
 
yes sir!you are telling the truth! Keep on telling them what humanity is !

I'm just trying to offset the unfair and imbalanced attacks. But of course the stans are not interested in serious substantive debate.

They've allowed fanaticism to lead their way and I'm on them to give them a proper handling for as long as it'll take.
 
nini hasa kilichokupa raha kwenye hilo bandiko langu?
ni jinsi unavojibu kwa point halafu mhusika anabaki hoiii.njoo tuhamie jukwaa la siasa au kwingine huku hakutufai ni shari tu watu hawaelewi?wanalaumu mambo ambayo wenyewe hawawezi kutekeleza.au umegoma kuhama na wewe?
 
Huko kwenye siasa hakuna mpango. Acha wapigane mabomu labda watatia akili kidogo.

Kama vipi wewe nenda. Mi niko gado hapa nakula sahani moja na hawa wakaanga sumu.
 
Na bado wakiandaa fiesta andaa show nyingine tutakuja nyomi....kinachotuleta ni zaidi ya burudani...hegemonic tendencies ktk entertainment ifike wakat iwe mwisho....tutakuinua ww ili ulete ushindani thn tupate burudan lkn na nyie mfaid matunda ya vipaji vyenu..
 
Huko kwenye siasa hakuna mpango. Acha wapigane mabomu labda watatia akili kidogo.

Kama vipi wewe nenda. Mi niko gado hapa nakula sahani moja na hawa wakaanga sumu.

mkaanga sumu uyu hapa chini,watu walioamua kumkimbia baada ya kuanza kusinzia kwa kuboreka.

[h=5]
[/h]

Hii ni hadhira iliyohudhuria onyesho la mwanamziki lady jay dee usiku wa kuamkia leo..

Haya ni matukio ya mwanzomwanzo kabla shughuli yenyewe haijaanza..Nyumbani Lounge

hongera sana Jide.. hakika wew ni mwanamke wa shoka!!!
 
hivi wewe kwa uwezo wako wa kufikiri umeon akuna hoja ya msngi umeitoa kwenye huu uzi??
kwan wewe humendi jide?? unamchukia mtu ambaye hata kumzaa hujamzaa??
huo ni ujinga wa mwisho chini ya mbingu hii manake umchukie usimchukie haina maana kwamba jua halita muwakia ama mvu haitamnyeshea, wala humwondelei oxygen wala kuwafunika wanaotaka kwend akwenye shoo zake.
so far.................
wewe si kubuyu useme siku akitaka kwenda kutambika atakosa pa kuweka maziwa
wala wewe si barabara kwamba kwasabbu humpendi basi utajizika ili akose pakupita,
wala wewe si sufuria useke kisa humpendi akitaka kukutenga jikon apike utakataa,
wala wewe si mwiko kwamba kisa humpendi basi utakataa kukoroga msosi wake jikoni.
tena jua kabiasa kwamba wewe si oxygen kwamba akitaka kupumua basi utajibadili kuwa CO ili iwe sumu afe so you will carry yourself...................
 
hivi wewe kwa uwezo wako wa kufikiri umeon akuna hoja ya msngi umeitoa kwenye huu uzi??

Ndiyo, kuna hoja za msingi sana ambazo wewe umeshindwa kuzijibu na umeishia kuandika viroja kama kama hivi ulivyoandika hapa. Haya, ngoja tuviangalie hivi viroja kimoja baada ya kingine.

kwan wewe humendi jide??

Humendi jide ndiyo nini?

unamchukia mtu ambaye hata kumzaa hujamzaa??

Nani namchukia? Na hata swali lako halina kichwa wala miguu. Ni kama vile unasema mtu ambaye unaweza kumchukia ni yule uliyemzaa. Jifunze kufikiri kwanza kabla hata hujauliza ili uwe unauliza maswali yenye mantiki.

huo ni ujinga wa mwisho chini ya mbingu hii manake umchukie usimchukie haina maana kwamba jua halita muwakia ama mvu haitamnyeshea, wala humwondelei oxygen wala kuwafunika wanaotaka kwend akwenye shoo zake.
so far.................

Usiandike kwa jazba maana unaishia kutoeleweka!

wewe si kubuyu useme siku akitaka kwenda kutambika atakosa pa kuweka maziwa

Kiroja cha kwanza! Najua mimi siyo kibuyu wala ndonga. Huna haja ya kuniambia hilo.

wala wewe si barabara kwamba kwasabbu humpendi basi utajizika ili akose pakupita,

Kiroja cha pili! Najua mimi si barabara. Ila mbona umeng'ang'ania sana simpendi? Wewe unampenda? Wewe unampenda MwanaFA ambaye umetumia jina la kebehi kumwita?

wala wewe si sufuria useke kisa humpendi akitaka kukutenga jikon apike utakataa,

Kiroja cha tatu! Najua mimi si sufuria. Lakini kwa nini unaaandika vitu visivyo na uhusiano na hoja zangu. Kwa nini? Masuala ya mimi kuwa ama kutokua sufuria yana uhusiano gani na zangu za awali? Mbona unazikwepa kuzijibu?

wala wewe si mwiko kwamba kisa humpendi basi utakataa kukoroga msosi wake jikoni.

Kiroja cha nne! Teh teh huu sasa ni wehu! Najua mimi si mwiko. Mimi ni mtu. Bibie, wapi majibu ya hoja zangu?

tena jua kabiasa kwamba wewe si oxygen kwamba akitaka kupumua basi utajibadili kuwa CO ili iwe sumu afe so you will carry yourself...................

Kiroja cha tano! Haya bana naona huna kabisa hoja wewe maana umekomalia viroja tu. Na hapo mwisho ndo nini sasa hiyo maana yake? Au umetafsiri ule msemo wa Kiswahili wa 'utajibeba'?:heh:

Kaaz kwey kwey!
 
Pole sana kijana kwa kuambiwa ushindane na wewe ukakubali bila kuangalia uwezo wako...NADHAN WENZAKO WATAKUWA WAMEELEWA!!!
 
JOTO HASIRA ENH!!
basi shka ondoa karibu juisi na mziki mtamu toka kwa jide.
msalimie Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…