Lady Jaydee alivyofunika......

Aibu yao Clouds media poleni sana kutumiwa na mabosi wenu

Madongo waliyokuwa wanarusha wakina fulani kwenye kipindi chao walinibooore ....Ushauri Nyie ni waajiriwa tu acheni kuonyesha beef za kijinga , kisa muwe upande wa Bosi wenu Rugay

na kwenye show ni kama walienda kupiga umbea tu......

jamani Nyani Ngabu chali msaada wa haraka unahitajika
 
Last edited by a moderator:
Love you anaconda alopanga mungu mwanadamu hata apige mayowe vip ..linafanikiwa ...
 
Tatizo MwanaFatuma...show yake hakutaka watu wengi....alafu na vile alitangaza watu watupie suti,madai yake classy show....aaaah the wananchi woote wakaenda kwa anaconda...akabaki na wavaa suti...LmAo!
 
JOTO HASIRA ENH!!
basi shka ondoa karibu juisi na mziki mtamu toka kwa jide.
msalimie Nyani Ngabu

Hey 'smarty' pants,

Anhaaa! Sasa kama ilikuwa balaa kumbe madai yake kwamba anazibiwa riziki si ya kweli, siyo?

Nani anasema hivyo?

Jide kumwita MwanaFa MwanaFAtuma haikuwa kumchafua eeh?

Nani kamwombea mabaya mwenzake?

Naam, maisha ni vita pamoja na akili. Akili ya kuanzisha bifu ili u-generate interest ya show yako. Pasi na bifu unadhani watu wangeitikia kama walivyoitikia? Bila bifu unadhania hiyo show ingepata publicity iliyoipata? Na ukumbuke proceeds zote za hiyo show zinaenda kwenye akaunti ya huyo binti. Au aligawana nanyi nyie mliohudhuria?
 
Chali kivipi?

Kilichodhihirika sana sana ni huyo mwanamke kutokuwa na hoja yoyote ya msingi.

Nimeuliza hapa mara milioni kidogo, hivi tatizo lake dhidi ya Clouds, Ruge, na Joey ni nini mahsusi?

Hakuna aliyejibu mpaka sasa. Mwanzoni alidai eti nyimbo zake hazipigwi Clouds na Ruge akayapangua hayo madai kama Khamisi Kinye.

Haya, nini sasa bifu lake dhidi ya Clouds?
 
...The truth of the matter is that the two shows were between justice and injustice... Justice prevailed...'
#TeamAnaconda #
 
Siyo najifanya sijui. Ni kwamba hakuna ndo maana huwezi kutaja, nukta!

"THE FINEST" My foot! Mlikuwa kama mko kwenye semina elekezi,
Mwambie Rugay alidhani historia ya Diamond are forever ingejirudia
hapana chezea JIDE,kajipangeni upya.Mtasubiri sana kwa ANACONDA!
 
"THE FINEST" My foot! Mlikuwa kama mko kwenye semina elekezi,
Mwambie Rugay alidhani historia ya Diamond are forever ingejirudia
hapana chezea JIDE,kajipangeni upya.Mtasubiri sana kwa ANACONDA!

Sasa hapo ndo umeandika nini? Napata shida sana kukuelewa. Hebu weka ushabiki pembeni kidogo halafu unieleza kinagaubaga kuhusiana na hiyo injustice unayoizungumzia?

Au MwanaFA kufanya show siku moja na Jay Dee ndo injustice unayoizungumzia?
 
kwanini mliwazuia Lina na yule mwenzake wasishiriki katika show yake......
na pesa walishachukua!!!!!!!!ka so vijiba vya roho

by the way kaonyesha kuwa without Clouds the music Industry can stand and shine!!!!!!!
 
kwanini mliwazuia Lina na yule mwenzake wasishiriki katika show yake......
na pesa walishachukua!!!!!!!!ka so vijiba vya roho

Nani aliwazuia na aliwazuiaje huyo aliyewazuia? Aliwafunga kamba mikononi na miguuni?

by the way kaonyesha kuwa without Clouds the music Industry can stand and shine!!!!!!!

Music was there way before Clouds came into existence and it will outlive it. So what's your point?
 
Clouds wanajifanya miungu watu na mashabiki tuliamua kuwakomesha na kumpa full support Jide, show ya mwana Fatuma ilidoda
 
Nani aliwazuia na aliwazuiaje huyo aliyewazuia? Aliwafunga kamba mikononi na miguuni?

Music was there way before Clouds came into existence and it will outlive it. So what's your point?

My point is Bwa'Nchuchu should be a man enough to
stand for what is right na sio kuwa anabisha tu .....

Aliyewazuia na kuwakataza ni huyo anaejifanya kwamba Industry ya mziki
iko mikononi mwake........
 
Last edited by a moderator:
My point is Bwa'Nchuchu should be a man enough to
stand for what is right na sio kuwa anabisha tu .....

I'm all for social justice. It is one of my passions.

Aliyewazuia na kuwakataza ni huyo anaejifanya kwamba Industry ya mziki
iko mikononi mwake........

Una ushahidi kwamba aliwazuia na kuwakataza? Na anajifanyaje kwamba tasnia ya muziki iko mikononi mwake? Unaweza kuelezea kwa unagaubaga?
 
I'm all for social justice. It is one of my passions.

Una ushahidi kwamba aliwazuia na kuwakataza? Na anajifanyaje kwamba tasnia ya muziki iko mikononi mwake? Unaweza kuelezea kwa unagaubaga?

Your passion my foot
wakisema wanaostand for justice wakutane Karimjee will you go!!!!!!

younow the truth and here you are pretending as if you know nothing
 
Your passion my foot
wakisema wanaostand for justice wakutane Karimjee will you go!!!!!!

What's wrong with your foot? Got foot and mouth disease or what?

younow the truth and here you are pretending as if you know nothing

The fact of the matter is you have failed to name the purported injustice done to that woman, period, end of sentence.

To host another concert on the same night as hers is not injustice. She is not entitled to hold concerts alone.

So to act like she is the only one who should hold a concert on a particular night is the height of a false and arrogant sense of entitlement.
 
Tatizo MwanaFatuma...show yake hakutaka watu wengi....alafu na vile alitangaza watu watupie suti,madai yake classy show....aaaah the wananchi woote wakaenda kwa anaconda...akabaki na wavaa suti...LmAo!

hata viwalo alivyovaa sijaona lolote mwanamziki gani wa hip hop uliisha mwona akipanda jukwaani anavaa suti eeehhhn?ifike wakati watz nao wawe na stlyist...na uyo sheria ndo nnn kafanya?anawezaje kuwa designer alaf hajui mpangilio wa m,avazi na matukio....
!! angekuwa anaimba same genre kama kina r kelly ningesema kapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…