bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Acha kabisa kukumbusha issue ya chai aisei.Mkuu hujui tu ni jinsi gani umenitia uchungu kwa hili.
Winzio tunakuja potezea stress za sukari huku wewe unakumbushia.
Hapa inabidi tupige mnazi tuu maana hakuna namna tena[emoji22] [emoji22] [emoji22]