Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...
Huwezi kumsahau mwanaume aliyekukojoza kwa miaka 15. Ni wanawake wachache sana wanaweza .
 
Ukitaka kujuwa ukweli mpenzi wako anakuonaje au anakuchukuliaje muonekano wako ni punde mnapo kuwa mmegombana mkatawaliwa na hasira hapo sasa utasikia ya moyoni kila litokalo kwenye kinywa ni la ukweli sema halishindwa kukwambia wakati mpo na furaha...

Utasikia muone kwanza mbaya kama nini najuta hata kwanini nilikuwa na wewe, jitu baya jeusi kama mkaa mfupi kama kimba, wakati ndiyo huyo huyo alikuita sweet, my candy, my wife/husband, my chocolate, honey nakupenda you are real beautiful,wow how handsome you are my husband napenda rangi yako , napenda ulivyo mfupi baby una kichwa kizuri mume wangu, mpenzi wangu wewe ni mrembo kuliko wanawake wote duniani kumbe upande wa pili usitake kujuwa subiri hasira zikija kwani wewe mwanamke gani miguu kama upinde, ndiyo mfano wa jide leo kichwa cha aliyekuwa mpenzi Wake kimekuwa tofali
Hahahaaa umenikumbusha kitu kuna mtu alishawahi kuniambia kwenda uko matege yale.....nikamuuliza ndiyo unayaona leo.
 
Anakosoa Kazi Ya uumbaji? and then anategemea kudura apate Mtoto...

Watu Wakiambiwa There is No God wanabisha hadi mishipa inawatoka... lakini wanavyotenda kazi zao na matendo yao yanadhihirisha kabisa there is no God... Period
 
Wewe si ndio tofali mwenyewe!!!?

Haswaaaaa......tofali linaheshima yake mana linatustili wengi...si ndio maana ukaitwa baba mwenye nyumba....yote kazi ya tofali..lol
 
Teh teh teh....kumbe nawe unajiita tofali? Hahahaaa

Ila huyo naye ana nafasi ya kuweza kuongelea maumbile ya watu kweli?

Yap yap....tofali lenye heshima zake....nyumba imara imejengwa na tofali imara...qwi qwi qwi...
Ana stress huyo..yn nilikua namuona jide wa maana kwa hili anashusha yn 40yrs lkn akili hamna..hiyo biashara ya kujibishana na maex awaachie kina lulu na 20s zao...
 
Huwezi kumsahau mwanaume aliyekukojoza kwa miaka 15. Ni wanawake wachache sana wanaweza .

Yeah ts true but aumie kimya kimyaaa chumbani kwake...ht mtu yoyote asijue..kwani ye wa kwanza kuachwaaaaaa aaargh ukomando uko wapi sasa mkurya hyuuu
 
Back
Top Bottom