Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

Mkuu hujui tu ni jinsi gani umenitia uchungu kwa hili.
Winzio tunakuja potezea stress za sukari huku wewe unakumbushia.
Acha kabisa kukumbusha issue ya chai aisei.

Hapa inabidi tupige mnazi tuu maana hakuna namna tena[emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
hahahahahahah ilo tusi la aina yake, mbichwa ka tofa!
 
Mhhhhhhhh kalisemea wapi hili jamani?
Maana wabongo kwa chai hatujambo.
Japo inawezekana kasema lakini maana wale nao hatari sana ligi yao.
Hajasema kitu ni wambea tuuu
 
Jide anashauriwa vibaya.Ajikite kwenye kazi yake,asishindane na Gardner,atambomoa ashuke hadhi yake,amuulize wema kashindana Diamond mwishowe kaangukia kwa mpiga picha.makelele hayalipi
 
Kwani pale awali hakukiona kama tofali?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimevuta picha kama nilikuwepo nimebaki kucheka hata mimi, Usaidizi wa kisolojia na kisaikolojia unahitajika kwa hawa watu - Ni fatigue
 
Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…