KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Huwezi kumsahau mwanaume aliyekukojoza kwa miaka 15. Ni wanawake wachache sana wanaweza .Ukitaka kujua kuwa mtu bado anakupenda na haja move on...ni kukuongelea ..kukupiga vidongo hadharan...jide plz grow up we ushakua ...achana na hilo janaume....yn unampa kiki bureeeee...
Hahahaaa umenikumbusha kitu kuna mtu alishawahi kuniambia kwenda uko matege yale.....nikamuuliza ndiyo unayaona leo.Ukitaka kujuwa ukweli mpenzi wako anakuonaje au anakuchukuliaje muonekano wako ni punde mnapo kuwa mmegombana mkatawaliwa na hasira hapo sasa utasikia ya moyoni kila litokalo kwenye kinywa ni la ukweli sema halishindwa kukwambia wakati mpo na furaha...
Utasikia muone kwanza mbaya kama nini najuta hata kwanini nilikuwa na wewe, jitu baya jeusi kama mkaa mfupi kama kimba, wakati ndiyo huyo huyo alikuita sweet, my candy, my wife/husband, my chocolate, honey nakupenda you are real beautiful,wow how handsome you are my husband napenda rangi yako , napenda ulivyo mfupi baby una kichwa kizuri mume wangu, mpenzi wangu wewe ni mrembo kuliko wanawake wote duniani kumbe upande wa pili usitake kujuwa subiri hasira zikija kwani wewe mwanamke gani miguu kama upinde, ndiyo mfano wa jide leo kichwa cha aliyekuwa mpenzi Wake kimekuwa tofali
Hahahaaa umenikumbusha kitu kuna mtu alishawahi kuniambia kwenda uko matege yale.....nikamuuliza ndiyo unayaona leo.
Si angejengea nyumba!Ha ha ha hilo tofali kaliona leo watu jamani
Karibu sana ........nikuandalie matege tu ama na mengineyo?Nakuja kuyaona hayo matege......
Karibu sana ........nikuandalie matege tu ama na mengineyo?
Uwii juice ya karakara ndiyo ikoje?Niandalie matege na glasi mbili za juisi ya karakara na usisahau mrija.
Uwii juice ya karakara ndiyo ikoje?
Hahahaaa loh hii ndiyo nimeisikia kutoka kwako. Yap itakuwepo inaanzaje kumiss sehemu kama hiyo.Khaaa Sister hujui karakara ni nini? Ni passion bana....
Itakuwepo?
Wewe si ndio tofali mwenyewe!!!?
Teh teh teh....kumbe nawe unajiita tofali? Hahahaaa
Ila huyo naye ana nafasi ya kuweza kuongelea maumbile ya watu kweli?
Huwezi kumsahau mwanaume aliyekukojoza kwa miaka 15. Ni wanawake wachache sana wanaweza .
Mi mwenyewe mchawiUnataka kurogwa??
Eeeeh samahan sana ucje ukaniroga bureMi mwenyewe mchawi
Ha haaaEeeeh samahan sana ucje ukaniroga bure