Nina ushahidi kwa hili, i had an eyewitnesses on the broken relationship huwa siku zote yule mwenye maneno machafu, kejeli na mipasho kwa mwenzake yeye ndiyo ameumia na ana majeraha ya moyo baada ya uhusiano kuvunjika na bado unakuta ana mapenzi, sasa ili kutoa machungu ya moyoni nilazima utakuta anatumia nguvu nyingi sana kumtukana mwenzake, ndicho kinacho mtokea jide... But she is wasting her energy and time to attack Gadner