Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

Nina ushahidi kwa hili, i had an eyewitnesses on the broken relationship huwa siku zote yule mwenye maneno machafu, kejeli na mipasho kwa mwenzake yeye ndiyo ameumia na ana majeraha ya moyo baada ya uhusiano kuvunjika na bado unakuta ana mapenzi, sasa ili kutoa machungu ya moyoni nilazima utakuta anatumia nguvu nyingi sana kumtukana mwenzake, ndicho kinacho mtokea jide... But she is wasting her energy and time to attack Gadner

Penda sana your comment. Ndivyo ilivyo. ukiachwa au kuacha kaa kimya endelea na maisha. ukibwabwaja tutajua bado una donda moyoni na unakumbuka ile mikojo, 15 years sio mchezo.
 
Back
Top Bottom