Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

Duh akiendelea kutapika tena upuuzi wake basi huyu mtu atakuwa ni balaa
 
hapo cha chacha!!!

Message delivered na bado mtaambulia ticket za show za bure na kuchakazwa mpaka mkome , wenzenu hao wanaendelea na ndoa yao, kwiwiwiwiwiwiwi bwahahahahahahahahaa Gadner mbayaaaa

Shemejiiiiiiiiii,naedeleaaa(in Mac Regan's voice)
 
usemayo ni kweli tupu ila si kwa yule bwana......we acha tu tuache tu!!.......ebu tufunge mjadala watajua wenyewe.
 
Message delivered na bado mtaambulia ticket za show za bure na kuchakazwa mpaka mkome , wenzenu hao wanaendelea na ndoa yao, kwiwiwiwiwiwiwi bwahahahahahahahahaa Gadner mbayaaaa

Shemejiiiiiiiiii,naedeleaaa(in Mac Regan's voice)
he heeeeeeeeeeeeeeee!jamani GOSSIPI WANIPA RAHAAAA!
 
kula tano mine
ukweli mtupu
 
he heeeeeeeeeeeeeeee!jamani GOSSIPI WANIPA RAHAAAA!

Eeeh ebu tupe umbea kwanza wa huyo gadner binamu, maana jinsi unavyoongea inaonekana unayajua mengi ,au nikufuate kule ikulu?

Na isije tu kuwa unamponda na chuki zako binafsi, maana ntakuchamba uko uko pm ,aya ngoja nije unipe ubuyu
 
roho mbaya ni udhaifu...!
Kua nayo mwanadamu.!
Na haina uongofu kuendelea ni haramuuu!!
Pia utajikashifu ukiwa na roho ngumu
pia ni ulaanifu kujiwekea roho ngumu
kisa mafanikio mafanikio yangu yanawaumuza rohoni
mtaniendea mbio niendea mbio labda una wazimu kichwani
 
Eeeh ebu tupe umbea kwanza wa huyo gadner binamu, maana jinsi unavyoongea inaonekana unayajua mengi ,au nikufuate kule ikulu?

Na isije tu kuwa unamponda na chuki zako binafsi, maana ntakuchamba uko uko pm ,aya ngoja nije unipe ubuyu

Binabu unapenda umbea! mwambie amwage hapahapa.
 
Binabu unapenda umbea! mwambie amwage hapahapa.

Naona anasisitiza kweli kujua uchafu wa gadner ebu atupe maubuyu apa na ushabiki nauweka pembeni mimi kwenye umbea sina urafik wala ushabiki
 
Jide atabaki kuwa Jide" kwanza hii nyimbo yake mpya daaaah kali sana Give me love. Katuburudisha mda na bado yuko vizuri kwenye game damn
 
Ni muda sasa wa kurudi nyuma. Na kuangalia uliandika nini mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…