warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #181
Aisee ina maana wewe ulisha shuhudia G akifanya hivi au wewe ni muhusika wa maeneo yale au wewe ni wa pale? Unajua ndoa nyingi zina lindwa na uvumilivu kama wameweza kuvumiliana hadi sasa mi nafikiri inabidi uwapongeze na hakuna ndoa iliyo kamilika na kama watu wana aminiana Haya yanayo semwa yanaweza yasisaidie lolote.
Duh akiendelea kutapika tena upuuzi wake basi huyu mtu atakuwa ni balaa