Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
nina mdogo wangu na rafiki yangu sana anaitwa sayuni.
Kwa heshima yake nimeshindwa kukupa majibu yako stahili.
Ila nakushauri usome kichwa cha uzi huu(heading of this thread).
Alafu urudi ndani usome maelezo yake na mchango wangu.
Angalia kati ya kichwa cha topic na yaliyoelezwa kama yanaendana.
Mwisho tafakari kati yangu na wewe nani hakuelewa ama hajaelewa.
Frankly speaking mimi nikiambiwa niseme mwanamziki bora kati ya jide,diamond na kiba sitakururupuka.
Nitaangalia muda wa miaka mitano ya kwanza kwa diamond na mafanikio yake, muda wa miaka mitano ya kwanza kwa alikiba na mafanikio yake ,muda wa miaka mitano ya mwanzo kwa jide.
MIAKA MITANO YA MWANZO NI KUBALANCE MUDA MANA DIAMOND ANA MIAKA 5tu kwenye game huku wenzake wakiwa miaka zaidi ya kumi.
NA KAMA UNA AKILI TIMAMU NA UMEBAHATIKA KUSOMA SOMO LA QUALITY MANAGEMENT SOMO AMBALO LINAHUSIKA KUPIMA UBORA NA VIGEZO SAHIHI VINAVYOTUMIKA BASI UTAKUBALIANA NA MIMI KUWA KIGEZO NILICHOTUMIA KIPO SAHIHI.
lakini kama nabishana na mtu asiyelijua darasa atapinga vigezo ninavyopendekeza kutumika.
Ukiwalinganisha hao watatu kwa kigezo hicho cha miaka mitano ya mwanzo kila mmoja alipoanza muziki hakuna ubishi kuwa Diamond ataonekana bora zaidi kuliko jide na alikiba.
Ukiambiwa kulinganisha wingi wa mashabiki kwa wote hakuna ubishi kuwa diamond ana mashabiki wengi mno kwa sasa kuliko msanii yeyote.
Acha kutokwa na mapovu
Hizo tuzo alizochukua hujaziona au umetumwa? Nitajie msanii ambaye amewahi kupata hizo tuzo, kama huna tafadhal niache sitak malumbano yasiyokuwa na ushahid , Mimi nimeweka ushahid Wa tuzo alizopokea na wewe weka za msanii unayedhan anastahili kuliko jide , sio unapiga kelel kama mlev Wa chang'aa
mafanikio ya jd ni yakuigwa kwa wasanii wenzake wakike na wakiume co wivu na umalaya kutwa kuchwa magazetini ,kuuza na kutumia madawa ntafungwaaa!! dada jd pga kazi tunakutegemea ,fanya kazi waonyeshe vjana nidhamu ya kazi co ushambenga wa nusu uchiiii..
Mambo ya quality management yabaki uko uko chuo tafadhali
Nilikuwa nazungumzia msanii aliyevunja rekodi ya kumiliki tuzo nyingi zaidi na nimemtaja lady jaydee na ushahid juu , sasa ndugu yangu uliyeenda shule nashangaa unakuja na mambo ya quality management wapi na wapi? Au hiyo ndo topic uliyoielewa sana darasan?
Kumfananisha domo na komando ni dhambi
Jibu hoja zangu na si kuruka kama umerukwa na akili.
Diamond katoka 2009 mpaka sasa 2014.
Kama una akili timamu ungepima mafanikio ya wanamuziki wote toka 2009 mpaka 2014. Uone nani ana mafanikio zaidi wakati wote wakiwa kwenye game.
Bila shaka diamond amepata mafanikio makubwa kuliko msanii mwingi yeyote kimuziki
Kaka hapa utakua unafanya mazoezi, hawa watu unaobishana nao ni vipofu wa fikra hawawezi wakakuelewa!
Mbona hujajibu hoja zangu? Huoni kama umetudanganya kulingana na kichwa cha habari? Ungeandika jide anamechukua tuzo nyingi zaidi kuliko mtu mwingine mpaka sasa, na inawezekana toka mwaka juzi jide ndo mwenye tuzo nyingi, sasa unaposema leo amevunja rekodi kumbe alishavunja zamani
Unao uhuru wa ku comment chochote ukisikiacho hayo ya heshima mambo mengine huwezi kuita mwenzio hivo pia title ya kitu au heading huwa ni kuvutia wasomaji tu not otherwise nataka hayo majibu sahihi hapa hapa
Ivi unarudiaga hayo maneno unayoongea au una type na Ku submit, please bhana tuliza kichwa chako andika vitu vya kueleweka , wala usiwe na haraka Mimi nipo umu had kesho ntasoma tu comment zako zote , ebu jaribu kutuliza mapepe wakat unaandika comment zako
you were clearly out of point as you never understood.
Huwezi kuleta topiki yenye kichwa cha habari kinachopotosha alafu useme unavutia wasomaji, it is a tabularasa way of thinking.
Alafu wewe unafanya kosa jingine la kumjibia mtoa mada kuwa ameandika kuvutia wasomaji.
Mbona yeye hajasema kama alitaka kuvutia watu? Usilete hoja za kitoto hapa.
Hakuna mahala amesema anavutia watu alafu wewe unafikiria kwa niaba yake.
hapa sifanyi mtihani, naweza kukosea kutype na hakuna haja ya kurudia.
WEWE UNAERUDIA BADO UMEANDIKA NENO (narudiaga)
HATUNA KISWAHILI CHA NAMNA HIYO. sasa usingerudia haya maandishi yako yangekuwa na hali gani?

Ivi unaweza kunifafanulia wewe ambae sio kipofu kilichokuleta humu kitu gani kama sio unafk ? Kwa nini usiende kwa hao unaoona wana macho kama mapumbu ya ng'ombe uka comment uko?
Umu umbea tu unaruhusiwa na sio unafiki kama wako aya kaoge ukalale ukue