Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

nina mdogo wangu na rafiki yangu sana anaitwa sayuni.

Kwa heshima yake nimeshindwa kukupa majibu yako stahili.

Ila nakushauri usome kichwa cha uzi huu(heading of this thread).

Alafu urudi ndani usome maelezo yake na mchango wangu.

Angalia kati ya kichwa cha topic na yaliyoelezwa kama yanaendana.

Mwisho tafakari kati yangu na wewe nani hakuelewa ama hajaelewa.

Unao uhuru wa ku comment chochote ukisikiacho hayo ya heshima mambo mengine huwezi kuita mwenzio hivo pia title ya kitu au heading huwa ni kuvutia wasomaji tu not otherwise nataka hayo majibu sahihi hapa hapa
 
Frankly speaking mimi nikiambiwa niseme mwanamziki bora kati ya jide,diamond na kiba sitakururupuka.

Nitaangalia muda wa miaka mitano ya kwanza kwa diamond na mafanikio yake, muda wa miaka mitano ya kwanza kwa alikiba na mafanikio yake ,muda wa miaka mitano ya mwanzo kwa jide.

MIAKA MITANO YA MWANZO NI KUBALANCE MUDA MANA DIAMOND ANA MIAKA 5tu kwenye game huku wenzake wakiwa miaka zaidi ya kumi.

NA KAMA UNA AKILI TIMAMU NA UMEBAHATIKA KUSOMA SOMO LA QUALITY MANAGEMENT SOMO AMBALO LINAHUSIKA KUPIMA UBORA NA VIGEZO SAHIHI VINAVYOTUMIKA BASI UTAKUBALIANA NA MIMI KUWA KIGEZO NILICHOTUMIA KIPO SAHIHI.

lakini kama nabishana na mtu asiyelijua darasa atapinga vigezo ninavyopendekeza kutumika.

Ukiwalinganisha hao watatu kwa kigezo hicho cha miaka mitano ya mwanzo kila mmoja alipoanza muziki hakuna ubishi kuwa Diamond ataonekana bora zaidi kuliko jide na alikiba.

Ukiambiwa kulinganisha wingi wa mashabiki kwa wote hakuna ubishi kuwa diamond ana mashabiki wengi mno kwa sasa kuliko msanii yeyote.

Mambo ya quality management yabaki uko uko chuo tafadhali

Nilikuwa nazungumzia msanii aliyevunja rekodi ya kumiliki tuzo nyingi zaidi na nimemtaja lady jaydee na ushahid juu , sasa ndugu yangu uliyeenda shule nashangaa unakuja na mambo ya quality management wapi na wapi? Au hiyo ndo topic uliyoielewa sana darasan?
 
Jibu hoja zangu na si kuruka kama umerukwa na akili.

Diamond katoka 2009 mpaka sasa 2014.

Kama una akili timamu ungepima mafanikio ya wanamuziki wote toka 2009 mpaka 2014. Uone nani ana mafanikio zaidi wakati wote wakiwa kwenye game.

Bila shaka diamond amepata mafanikio makubwa kuliko msanii mwingi yeyote kimuziki
Acha kutokwa na mapovu

Hizo tuzo alizochukua hujaziona au umetumwa? Nitajie msanii ambaye amewahi kupata hizo tuzo, kama huna tafadhal niache sitak malumbano yasiyokuwa na ushahid , Mimi nimeweka ushahid Wa tuzo alizopokea na wewe weka za msanii unayedhan anastahili kuliko jide , sio unapiga kelel kama mlev Wa chang'aa
 
mafanikio ya jd ni yakuigwa kwa wasanii wenzake wakike na wakiume co wivu na umalaya kutwa kuchwa magazetini ,kuuza na kutumia madawa ntafungwaaa!! dada jd pga kazi tunakutegemea ,fanya kazi waonyeshe vjana nidhamu ya kazi co ushambenga wa nusu uchiiii..

Ahahaha eti umalaya kutwa magazetini ah ahhh wapi mama ubaya
 
Mbona hujajibu hoja zangu? Huoni kama umetudanganya kulingana na kichwa cha habari? Ungeandika jide anamechukua tuzo nyingi zaidi kuliko mtu mwingine mpaka sasa, na inawezekana toka mwaka juzi jide ndo mwenye tuzo nyingi, sasa unaposema leo amevunja rekodi kumbe alishavunja zamani
Mambo ya quality management yabaki uko uko chuo tafadhali

Nilikuwa nazungumzia msanii aliyevunja rekodi ya kumiliki tuzo nyingi zaidi na nimemtaja lady jaydee na ushahid juu , sasa ndugu yangu uliyeenda shule nashangaa unakuja na mambo ya quality management wapi na wapi? Au hiyo ndo topic uliyoielewa sana darasan?
 
Jibu hoja zangu na si kuruka kama umerukwa na akili.

Diamond katoka 2009 mpaka sasa 2014.

Kama una akili timamu ungepima mafanikio ya wanamuziki wote toka 2009 mpaka 2014. Uone nani ana mafanikio zaidi wakati wote wakiwa kwenye game.

Bila shaka diamond amepata mafanikio makubwa kuliko msanii mwingi yeyote kimuziki

Ivi wewe unawaza kwa kutumia ma@to au tundu la mbele? Sasa Diamond ana mafanikio gani kumzidi jide ?

Eti Diamond amepat mafanikio makubwa kuliko msanii yeyote wakat hata nyumba hana , we punguani kweli aka bongolala ebu nipishe apa kaoge kwanza ndo uje humu
 
Kaka hapa utakua unafanya mazoezi, hawa watu unaobishana nao ni vipofu wa fikra hawawezi wakakuelewa!

Ivi unaweza kunifafanulia wewe ambae sio kipofu kilichokuleta humu kitu gani kama sio unafk ? Kwa nini usiende kwa hao unaoona wana macho kama mapumbu ya ng'ombe uka comment uko?

Umu umbea tu unaruhusiwa na sio unafiki kama wako aya kaoge ukalale ukue
 
Mbona hujajibu hoja zangu? Huoni kama umetudanganya kulingana na kichwa cha habari? Ungeandika jide anamechukua tuzo nyingi zaidi kuliko mtu mwingine mpaka sasa, na inawezekana toka mwaka juzi jide ndo mwenye tuzo nyingi, sasa unaposema leo amevunja rekodi kumbe alishavunja zamani

Ivi unarudiaga hayo maneno unayoongea au una type na Ku submit, please bhana tuliza kichwa chako andika vitu vya kueleweka , wala usiwe na haraka Mimi nipo umu had kesho ntasoma tu comment zako zote , ebu jaribu kutuliza mapepe wakat unaandika comment zako
 
Unao uhuru wa ku comment chochote ukisikiacho hayo ya heshima mambo mengine huwezi kuita mwenzio hivo pia title ya kitu au heading huwa ni kuvutia wasomaji tu not otherwise nataka hayo majibu sahihi hapa hapa

you were clearly out of point as you never understood.

Huwezi kuleta topiki yenye kichwa cha habari kinachopotosha alafu useme unavutia wasomaji, it is a tabularasa way of thinking.

Alafu wewe unafanya kosa jingine la kumjibia mtoa mada kuwa ameandika kuvutia wasomaji.

Mbona yeye hajasema kama alitaka kuvutia watu? Usilete hoja za kitoto hapa.
Hakuna mahala amesema anavutia watu alafu wewe unafikiria kwa niaba yake.
 
Ivi unarudiaga hayo maneno unayoongea au una type na Ku submit, please bhana tuliza kichwa chako andika vitu vya kueleweka , wala usiwe na haraka Mimi nipo umu had kesho ntasoma tu comment zako zote , ebu jaribu kutuliza mapepe wakat unaandika comment zako

hapa sifanyi mtihani, naweza kukosea kutype na hakuna haja ya kurudia.

WEWE UNAERUDIA BADO UMEANDIKA NENO (narudiaga)

HATUNA KISWAHILI CHA NAMNA HIYO. sasa usingerudia haya maandishi yako yangekuwa na hali gani?
 
you were clearly out of point as you never understood.

Huwezi kuleta topiki yenye kichwa cha habari kinachopotosha alafu useme unavutia wasomaji, it is a tabularasa way of thinking.

Alafu wewe unafanya kosa jingine la kumjibia mtoa mada kuwa ameandika kuvutia wasomaji.

Mbona yeye hajasema kama alitaka kuvutia watu? Usilete hoja za kitoto hapa.
Hakuna mahala amesema anavutia watu alafu wewe unafikiria kwa niaba yake.

Ivi wewe unajielewa kweli? Sasa apa nimepotosha kitu gani ? Au unadhan wewe una akili sana kuliko ma mods walioamua kuuacha huu Uzi uendelee kupotosha watu ? Come on , acha kuwa zumbu kuku ulimwengu uko huku. Sasa unataka kusema hizo tuzo alizopata jide ni za uwongo

Hawa watoto vizazi vya diamond wana shida sana , utoto na umapepe umewajaa sana
 
hapa sifanyi mtihani, naweza kukosea kutype na hakuna haja ya kurudia.

WEWE UNAERUDIA BADO UMEANDIKA NENO (narudiaga)

HATUNA KISWAHILI CHA NAMNA HIYO. sasa usingerudia haya maandishi yako yangekuwa na hali gani?

Nyie vizazi vya diamond(mwaka 2009) mnashida sana , yani mnaleta sana fujo mitandaon ivi mtakuwa lini?
 
you were clearly out of point as you never understood.

Huwezi kuleta topiki yenye kichwa cha habari kinachopotosha alafu useme unavutia wasomaji, it is a tabularasa way of thinking.

Alafu wewe unafanya kosa jingine la kumjibia mtoa mada kuwa ameandika kuvutia wasomaji.

Mbona yeye hajasema kama alitaka kuvutia watu? Usilete hoja za kitoto hapa.
Hakuna mahala amesema anavutia watu alafu wewe unafikiria kwa niaba yake.

Ha ha ha loh wewe ndo ulikuwa out of topic simple umeshindwa kuielewa inaonyesha umeumia sasa jde kusifiwa hala mwanaume mzima haya huna kwanini unalazimisha mawazo yako ndo watu washabikie na kumuingiza diamond kaanzishe na wewe.uzi wa.kumsifia after all na komenti ninachokisikia ndo mana hili ni jukwaa na watu wanao think beyond kwa pande zozote kwahyo uzi wa Jide ndo umekuumiza pole yako kila mtu na anachoamini ndo mana kila mtu analete view zake kajipange
 
hapa sifanyi mtihani, naweza kukosea kutype na hakuna haja ya kurudia.

WEWE UNAERUDIA BADO UMEANDIKA NENO (narudiaga)

HATUNA KISWAHILI CHA NAMNA HIYO. sasa usingerudia haya maandishi yako yangekuwa na hali gani?

nendeni jukwaa la Lugha ukamueleweshe vizuri.. hapa ukishapata main theme mengine tupa kuleew
 
hapa sifanyi mtihani, naweza kukosea kutype na hakuna haja ya kurudia.

WEWE UNAERUDIA BADO UMEANDIKA NENO (narudiaga)

HATUNA KISWAHILI CHA NAMNA HIYO. sasa usingerudia haya maandishi yako yangekuwa na hali gani?

Naomba nisaidie hapo kwa sisi wasukuma kuweka neno 'ga' ni kawaida mfano naendaga/niliendaga, nakwambiaga, etc ndio kiswahili chetu.
 
Ivi unaweza kunifafanulia wewe ambae sio kipofu kilichokuleta humu kitu gani kama sio unafk ? Kwa nini usiende kwa hao unaoona wana macho kama mapumbu ya ng'ombe uka comment uko?

Umu umbea tu unaruhusiwa na sio unafiki kama wako aya kaoge ukalale ukue

Hahah sitakutana, hustahili. Mi nasubiri jibu la swali uliloulizwa hapo!
 
Back
Top Bottom